Wanaume wengi wananuka miguu

Kuna majani fulani nayafahamu yanatibu fungus za miguu
kwan inakuwa ni Fungus?.
Nadhan shida ni Mwanaume kutokubadilisha Soksi.
Utakuta ana pea 2 za Soksi. Na anavaa pea moja kwa wiki 2 hadi 3.

Tena wakat wa kuvaa hafuti vizuri vidole vikakauka. Kwahiyi inatengeneza uvundo . Unaokuwa mkubwa kila baada ya siku.

Bado shughuli zake anafanyia Juani. anatembea na kutoka jasho mwili mzima. Kila siku.
lazima soksi zinuke.
 
Viatu vinambana miguu haipati hewa ya kutosha sababu sio soksi hata asipovaa soksi itatoa harufu tu sababu ya viatu
Labda kama shughuli zake anashinda juani.

Mtu umeamka zako, umewasha gar hadi ofisin. Ofisi ina AC. Umemaliza kaz jion unarud zako home jua limeshapungua.
Unaanzaje kunuka miguu?.

Joto (jasho) + uvundo + kutobadili Soksi = kunuka Miguu
 
Muoshe miguu yenu hata mara moja kwa mwezi nendeni mkaoshwe miguu huko masaluni kama huna mke au hamuwezi kufanyiana na mkeo (wangu namuosha mwenyewe ila mie napenda kuoshwa saluni wanajua wale hehehehe),

Aaagh, yote haya ya nini?.
tunaweza ambiwa migongo hatuilindi 😊😊😊😊.

Suluhisho ni kukausha miguu vizur kabla ya kuvaa soksi. Na pia kama mtu unapilika pilika mchana basi uwe unabadili soksi kila baada ya siku 2 au tatu.

Sio unavaa soksi moja wiki nzima.
 
Usafi hauna jinsia ni jukumu letu sote kua wasafi. 😃😃😃

Wanaume wananuka Makwapa, Miguu, midomo doh hebu wapumzishe basi 😅
 
Ushoga huu mwanaume unakuwaje soft soft ivi mnachkuliaje wanaume yani ukaweke miguu kwenye stuli ili iwe soft huo muda unautoa wapi wewe mlelee mwanao kwa style iyo uone sio kila mada ukiiwaza unaleta hapa mengine fanya kwako na familia yako.
Safisha miguu yako, kunuka sio sifa
 
Mods waliniudhi mimi pia, nilikuwa nimeshaandika maswali yangu napost nakutana na kumradhi sio poa.

Eeenh! hapo umenena hawa wanaume zetu wa kibongo ni wachafu sana. si miguu tu jasho, vikwapa ,mdomo, makegeli.
kiufupi wajirekebishe.
Tukiwaita madikteta watasema tumefika mbali,

Baadhi ya wanaume wana hulka za uchafu jamani na hili joto la Dar unakuta wengine hawaogi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…