wanaume wengi ni magumegume!

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!
 
Sio kwamba nafagilia, ila wanaweza kusema wanataka usawa wa binadamu.

Kila mtu kivyake.

Siku hizi naona mtu kwenda kwenye TV lazima wakupige makeup, na kwa salama shurti hata wasiopiga manicure/pedicure watapiga.

With increase in time, any closed system is bound to increase complexity if left unattended.

Kama huwamind usiwajali, hakuna matata.
 
mwanaume lipgloss!
Mwanaume shanga!
Mwanaume foundation!

Loh wakiume hao sio wanaume
 
awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shanga wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!

Ni kweli wapo,wengi wao ni wasanii au maarufu fulani na wanaowafuatia ni wale wa kunde lile baya. Mwanaume kamili wa kawaida hawezi kutinda nyusi na kuvaa shanga hata kidogo!!!
 
Ni kweli wapo,wengi wao ni wasanii au maarufu fulani na wanaowafuatia ni wale wa kunde lile baya. Mwanaume kamili wa kawaida hawezi kutinda nyusi na kuvaa shanga hata kidogo!!!

editing: pls cjamaanisha shanga i meant shangaa tahamaki.
 
Ni kweli wapo,wengi wao ni wasanii au maarufu fulani na wanaowafuatia ni wale wa kunde lile baya. Mwanaume kamili wa kawaida hawezi kutinda nyusi na kuvaa shanga hata kidogo!!!

pls cjamaanisha shanga za kiunon i meant shangaa yan taharuki.
 
Du, mimi kwangu vyote hivo havipo. Siku mojamoja futa tu kidogo (shanti) usoni. Mdomo ukila supu unajimaliza wenyewe. Sijui hata kama nna nyusi.
Nyie wadada mkiona wanaume zenu wanafanya hayo aliyoandika mleta mada basi muwe mnapanga ratiba ya kwenda salon pamoja. Nahisi kama mwisho wa dunia ndo unafika.
 
pls cjamaanisha shanga za kiunon i meant shangaa yan taharuki.

Sawa mkuu, nimeona ume-edit, hata hivyo hoja ni hiyo mwanaume kama mwanaume hawezi kufanya haya mambo uliyoyaeleza kama siyo msanii au mshiriki wa kundi lile baya!
 
awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!

Masharobaro tuuu!!!!!!!!
 
anyway...KUIGA IGA TU....ZAMANI TATOO NILIKUWA NAJUA ZA AKINA DADA KTK JAMII YETU, DUUU..KUMBE 50 CENT NA LILWAYNE WALIVYOJICHORA DUU VIJANA WASHAJICHORA TENA, KUIGA NDO KUMEWAFIKISHA HUKO...KUMBUKA JIM LIMEANZA BAADA YA MIELEKA
 
awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!
hao wanaume wa hivyo si ajabu marinda yasha-nyooshwa, sio wazima hao.
 
Jamani demand ya MAHANDSOME mjini imeongezeka, inabidi watu wacope na demand na wao by nature sio good looking, ndo kujituma na cosmetics za mchina! Ila mbona hata mastar kama Brad Pitt, George Clooney na D.Beckham wanapaka sana hizo kitu ili SHOTS ZITOKE CLEAR. I guess kwenye usanii U GOTTA LOOK DIFFERENT than the rest.!!!!!!!!
 
sijui unaongelea "wengi" kivipi? all of my friends just use the basics, at chuo nilikuwa i had a manicure once kuona ikoje, hair gel or a simple skin lotion are sufficient kwa mwanaume wa kawaida. hao wanaotumia nyusi/carolite/women glasses (LOL) ni wachache kama wasanii nk
 
Jamani demand ya MAHANDSOME mjini imeongezeka, inabidi watu wacope na demand na wao by nature sio good looking, ndo kujituma na cosmetics za mchina! Ila mbona hata mastar kama Brad Pitt, George Clooney na D.Beckham wanapaka sana hizo kitu ili SHOTS ZITOKE CLEAR. I guess kwenye usanii U GOTTA LOOK DIFFERENT than the rest.!!!!!!!!
LARA what i used to believe was this men are always born sooo handsome ukikompare na beautiful madada. na ndio maana wadada wakawa na alternatives za mawigi, mawanja na lipstics, nywele znye stail tofauti nk. wanaume wakabaki natural kama walivyo. siku hizi naona hawautaki uhandsome wao bali ubeautiful na ndio maana tunapishana kwa sonara kuvaa vipuli maskioni, kwenye salun kusuka na hata kwenye ma pedicure ma manicure.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom