wanaume wengi ni magumegume!

awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!

Umesahau wanatoa TIGO! Lol
 
Tuondoe kasumba za kijinga. Binadamu lazima ajipende na kujipenda lazima uoge na kujiweka sawa ipasavyo. Mwanamke ana namna yake ya kujipodoa na inabidi aachiwe ajipambe kihivyo. Masuala ya Ben Kinyaiya yana utata, do not use Ben as mfano kwa wanaume, mtatudhalilisha. Mwanaume unatakiwa uoge, paka deodorant, cologne, na lotion mwilini pamoja na kuwa well shaved kichwani na sehemu zinazohitaji kusheviwa, ila si kunyoa nyusi au upake lipstick kujifananisha na Maimartha. Anayesema mwanamme inabidi awe mchafu daima huyo ni mpuuzi, binadamu hutakiwi kunuka.
 
Hata kwenye maandiko ipo, mwisho wa dunia ukikaribia, wanaume watakua wanawake na wanawake watakua wanaume.
Mwanaume mzima unatiwa katikati ya paja la mwanamke maana unasukwa. hereni asubuhi mnagombania nani anavaa ipi... eti watu wanakwenda na wakati. ukisikia ukoloni mamboleo ndio huo, kila wafanyacho weupe na sie bila kujiuliza sababu, tunaiga. Heri mshamba kuliko limbukeni...

Du, mimi kwangu vyote hivo havipo. Siku mojamoja futa tu kidogo (shanti) usoni. Mdomo ukila supu unajimaliza wenyewe. Sijui hata kama nna nyusi.
Nyie wadada mkiona wanaume zenu wanafanya hayo aliyoandika mleta mada basi muwe mnapanga ratiba ya kwenda salon pamoja. Nahisi kama mwisho wa dunia ndo unafika.
 
Hata kwenye maandiko ipo, mwisho wa dunia ukikaribia, wanaume watakua wanawake na wanawake watakua wanaume.
Mwanaume mzima unatiwa katikati ya paja la mwanamke maana unasukwa. hereni asubuhi mnagombania nani anavaa ipi... eti watu wanakwenda na wakati. ukisikia ukoloni mamboleo ndio huo, kila wafanyacho weupe na sie bila kujiuliza sababu, tunaiga. Heri mshamba kuliko limbukeni...

sio kama nakupinga but
naomba hayo maandiko unitajie nikatazame
ni very interesting ulichosema hapa
 
Wanawake mbona wana vaa suruali hamshangai, wanaume nao wanataka usawa kama mwanamke anafanya kwa nn mwanaume asifanye? Waache wafanye kitu roho inataka



Sawa Fidel, kuanzia sasa nakupa uhuru wa kuvaa shanga kiunoni, paka lipstick, vaa bikini, sidiria, nyoa nyusi, ushindane na dada yako. Fanya kitu roho yako inapenda usije kuona tunakuingilia starehe yako.
 
Mimi ni mmoja kati ya wazazi wasioamini kwenye malezi ya kulazimisha watoto waangalie nyimbo za dini tu. Nawapa maximum freedom na mafunzo ya kwa nini hili ni baya.
Na ndivyo na mimi nilivyokuwa raised na sikuharibikiwa.

Mziki wa jamaa hauna tatizo... mimi mwenyewe naangalia vizuri tu.

Naona umeshapata jibu maana nilikuwa nataka kukujibu. Kama hujagundua, jibu ni hao wanao wa miaka 5, 2....wanampenda kwa sababu hawaelewi muziki wake bali wanapenda vituko vyake. Ila kama mzazi inabidi uanze kuwa na wasiwasi maana wasianze kumkopi kuvaa na kufanya vitu vya kisenge mapema kuona kama ni kawaida.
 
Angekuwa mwalimu angesema naona wanaume nao wameendelea bado kubadili jinsia tuu
 
heeeeeeeeeeeeee shikamo! nimekumic wewe kaka yangu siku hizi wanaweka mpaka dawa nywele ziwe zakihindi mweeeee

Marahaba mdogo wangu ...., nipo ila wewe ndo sijui umefichwa na shem@##, LOL!
Back kwenye mada, Inawezekana na hapa sizungumzii wasanii (maana wao muda mwingi hupenda kuonekana tofauti ktk jamii) , nazungumzia wanaume wa kawaida kutinda nyusi, carolite, lipshine nk kunanipa mashaka kuwa si wanaume wenzetu hata kidogo! Wao wakifanya hivyo na wake zetu wafanye nini?
 
Back
Top Bottom