Niliwahi kuweka uzi hapa kuhusu jambo hilo, wanaume wenzangu wakanitolea povu kwa hasira, lakini kwa kuwa aliyesema maneno hayo ni Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii naamini mtamuamini ..........Wanabodi.
Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Paulo Mhame amesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume.
Alisema pamoja na tatizo hilo kuwa kubwa, cha ajabu serikali bado haijakubali kutumia pesa kufanya utafiti wa kuandaa dawa ya kisasa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume...watu wengi wanamiminika kwa waganga wa asili kusaka dawa alisema.
Mpaka sasa waganga wa jadi zaidi ya 1,000 wamejiandikisha nchini kwa wanatoa dawa za kutibu upungufu wa nguvu za kiume,
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi
Watu hawajiamini,mwanamme kamili bao la kwanza ni ndani ya dakika 1 hadi tano,sasa watu wamemezeshwa sumu kwamba lazima uende nusu saa bao 1 ukienda chini ya hapo basi una upungufu wa nguvu za kiume,wanaume tujiamini,kama unataka kupiga bao moja kwa nusu saa zipo njia natural(withdrawal) na great foreplay na si kutumia madawa,achaneni na hayo madawa.
Asante Mdada tunakushukuru kwa mchango wako. Tunawaomba na nyie mpunguze hivyo vimini na suruali za kubana makalio, maana ndiyo zinatupeleka huko kwenye ukimwi.heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi
Watu hawajiamini,mwanamme kamili bao la kwanza ni ndani ya dakika 1 hadi tano,sasa watu wamemezeshwa sumu kwamba lazima uende nusu saa bao 1 ukienda chini ya hapo basi una upungufu wa nguvu za kiume,wanaume tujiamini,kama unataka kupiga bao moja kwa nusu saa zipo njia natural(withdrawal) na great foreplay na si kutumia madawa,achaneni na hayo madawa.
teh mdau utakufa au?
unapenda mara tatu kwa siku eeeh utajiju inakuja dozi mpya 1x i yearacha kabisa.....maneno mbaya hii.....