Kuna baadhi ya wanaume hupenda kujifanya wanajua sana mambo chum...n...afu kumbe si lolote....na wanaume wa dizaini hii pindi ufikapo chumba....n utakuta wana VIBAMIA.....
Kuna katabia kamezuka sana umu mmu...baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basii uamua kupost vitu vya kutupondea wanawake ................ivi mnazani maneno yenu ni sheria kwetu????.......embu mtuache tupumue jamani kaaaaaaah
Tusi liko wapi hapo au HALI HALISI NDO IMEGEUKA TUSI? Mwenyewe kakiri oooh kuna sehemu kapwaya! Kupwaya kupo ila sio kitu cha mtoto wa kiume kujisifia!
Nitakuenzi wangu mpenzi acha wabaya wachonge sisi walaaaaaa!
Mwenzangu mtu wajiandaa, zana zako waziloweka na omo, jicheni walingarisha liwe ngari ngari kiunoni pale, vichaka vyote wavifyeka, kabla hujalala wazungusha kulegeza kidogo nyonga, weaving wabadili ili harufu kidogo isimkwaze inshort wakwenda FUL MASS NONDO!Hahaaaaaaa umeona ehne wanajifanya wajuaji kumbe vibamia surual znawafichia mengi hawa watu
Anhaaaaaa! Leo umeingia kumi na nane zangu!Ama kweli mkuki kwa nguruwe.......
Mwenzangu mtu wajiandaa, zana zako waziloweka na omo, jicheni walingarisha liwe ngari ngari kiunoni pale, vichaka vyote wavifyeka, kabla hujalala wazungusha kulegeza kidogo nyonga, weaving wabadili ili harufu kidogo isimkwaze inshort wakwenda FUL MASS NONDO!
Kwenye fore play utamjuaaa!? Thubutuuuuuuu! Ajitia mpana kama pazia la cinema, machejo yote ayajua yeye unasema ewalaaaaaaa! Kiu imekutana na mma! Doooooooh!
Ukiiona ishu yenyewe wajua HAPO BIASHARA HAMNAAAAAA! Ngoma ya kitoto haikeshi! Unaweza hata vaa nguo uondoke, au unavuta picha ya chriss brown bora liende na kudelete kabisaa kwenye simu!
Anhaaaaaa! Leo umeingia kumi na nane zangu!
YALIYOMO YAMO KWANZA.? Tuanzie hapa!
Kwa binadamu mchungu kwan wee kimekuuma nn mkuu au na ww ni timu vibamia
Hutapata usumbufu wowote lazima ulidhike maana hutakumbuka hiyo kitu kwa miezi kadhaa maana nitahakikisha nimekata kiu yako kiasi cha kutosha.Oohoo timu vibamia wasumbuf
Nyie wawili vipofu kweeeeeeeeli, mnamuactia nani humu kuwa nyie ni Romeo N Juliet. Sasa wee uliyeandika sred hii vibamia umevijua wapi ka si huyu mwenzio ni kibamia? Eidha ye kibamia au unamzingua kwa kucheza mechi na vibamia. Mkuu, fungua macho, utaliwa hadi wewe usiposoma alama za nyakati Najua mnaacti ila *@#*@*#. betrii imeisha ya simu yangu.
Ukiwa njiani kuelekea mlango wa kutokea, IT WONT KILL YOU KUTUDOKEZA HOW MANY INCHES SHOULD WE SPECULATE ARROUND? Hihihihihiiiiiiiii! Just out of curioisity!Mmeniweka mtu kati! kwa vyovyote hapa ntashindwa tuu.
Ngoja tuu nijiondokee zangu kimya kimya.
Ohooo bebe Annael embu mchnguze vizuri uyu nahis ni mgeni na mambo ya mmu et twaigiza na we tafta na we wakuigiza nae
For the sake of my wife's dignity, I prefer to keep silence.Ukiwa njiani kuelekea mlango wa kutokea, IT WONT KILL YOU KUTUDOKEZA HOW MANY INCHES SHOULD WE SPECULATE ARROUND? Hihihihihiiiiiiiii! Just out of curioisity!
Mi mgeni, hujakosea. Sina hata wiki humu. Ila naona mtu akicomment mnaja.mba jam.ba. Yaani baadhi ni waoga. Mnaactii ndio romeo N juliet, bamia umezijulia wapi na utendaji kazi wake kama sio mwenzio ni bamia au wewe mechi zako ni nje. Mwisho wa siku sio ugomvi. Kama nimekosea kitu basi samahanini kwenu nyote.