Wanaume wengi hawajui thamani yao katika mahusiano

Wanaume wengi hawajui thamani yao katika mahusiano

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,653
Habarini wanajamvi,

PART 1
Sio siri nkiangalia asilimia kubwa ya mahusiano yani wanaume ndo wanakuwa wananyonywa (wanachunwa) zaidi, like kwanini wanaume wawe ndo wao tu wa kutoa hela, kama wote mnapendana kweli na mna kipato ambacho ni more or less the same IWEJE mwanaume awe ni mtu wa kutoa tu halafu mara nyingi hela wanayohongwa wanawake hawaifanyii kitu cha maana zaidi ya saluni na kununua simu kali, hlf yani mpaka mwanamke akupe hela yake duuuh ni kazi.

Hata kwenye maandiko ya Biblia katika kitabu cha Mwanzo Mungu alimuumba mwanamke ili amsaidie mwanaume, sio kumnyonya (kumchuna) mwanaume kifedha, na wanawake wengi wana take advantage ya cultural stereotype kwamba mwanamke ni wa kupewa tu. Sasa mimi nashangaa wanaume wengi akishikwa kitambi tu laki moja imemtoka, lakini hajiulizi kama huyo mwanamke anayemshika kitambi anampenda au la (kwa kifupi wanaume wengi wanafikiria kwa kutumia genitals zao na sio ubongo).

PART 2
Utakuta mwanaume anamganda demu mpaka utamuonea huruma huyo mwanaume, mara nyingi for women akigundua kuwa mwanaume anayempenda hamtaki (mwanamke ana bullshit) lakini mwanaume ataishia kuimba "siachani nawe" a.k.a kuwa barakah da prince wa mahusiano. hali hii hutokana na wanaume wengi kuwa na options chache katika dating world. Afadhali players na badboys hao ndo wanajua thamani yao katika mahusiano, especially badboys.

ALL BADBOYS ARE PLAYERS, BUT NOT ALL PLAYERS ARE BADBOYS, sisemi kuwa wanaume muwe ma players au bad boys ila mjaribu tu kuthamini na kuiheshimu thamani mliyo nayo katika ulimwengu wa mahusiano. Kubwa la maadui lara1 madame X asakuta same na wadau wengine ningependa mje mtie chachandu zenu katika hili.

Ni hayo tu
 
Last edited by a moderator:
The devil can cite scripture for his own purpose.
 
mkiacha kuigiza haya mambo yakuonekana mnanyonywa yataisha,sema mlisha haribu mifumo sikunyingi sana now mnajamp from one step to another bigger step than your kimo
 
Naamini huna hela. Wenye hela hizo zote ulizoandika ni makelele tu.

Mwanaume bila kuhonga hajisikii uthamani kabisa. Cjui mwenzangu kundi lako litaitwaje.

Tafuta hela mkuu hayo yote yataisha tu, maana ungekuwa na hela usinge anza kuwaza kuleta uzi kama huu.

Mkuu Bulldog amemaliza kila kitu.
 
"Wengine hawana hata ka-laki wanaita wenzao masikini"- Mwana Fa. Nyie akina jje's ndo wale ambao mkipigwa mzinga na mademu mnatoa huku mnalalamika kichini chini. Jamani hebu nyie wanaume acheni unafiki for once.
 
Kunatofauti kati ya kuchunwa, kuhonga na kuhudumia.
Mke wako au mpenzi kumpa matumizi huko ni kumhudumia. Otherwise hiwe hutaki majukumu. Lakini asie kuwa mpenzi kumpa matumiz huko ni kuchunwa sasa unajipeleka ukubaliwe na demu hakupendi.
Ukimpa demu hela ili ule mzigo hapo umehonga, akikunyima umechunwa.
Sasa acha kulazimsha penzi kama binti hakutaki usikomae potezea tafuta wako atae kupenda hudumia.

Otherwise vilio havitaisha.
 
"Wengine hawana hata ka-laki wanaita wenzao masikini"- Mwana Fa. Nyie akina jje's ndo wale ambao mkipigwa mzinga na mademu mnatoa huku mnalalamika kichini chini. Jamani hebu nyie wanaume acheni unafiki for once.

Mimi nakataa kabisa, naamin ukiamua kumhudumia mtu huna sababu ya kulalamika. kama huna pesa ndo chanzo cha kulalamika. Furaha ya pesa ni kuitumia na sio kuiweka.

Na matumizi ya hela yanakuwa mazuri pale unapotumia ukiwa una furaha na sio uchungu.

Tatizo wanaume wa siku hizi (not all) wanataka kuwa ndio wapewe hela na sio kutoa.

Hahahaha msinigombeze ni maoni tu.
 
anaetaka nyuchi wa mwenzake ndo anatoa na kuhudumia.

ndio maana sugar mummy uhudumiaga nyuchi ya serengeti boy coz ye ndo anademand zaid nyuchi ya mwenzake
 
okoyoko

Unapofika wakati umeshaiona faida ya shughuli/biashara zako, unatakiwa ujipongeze kwa kuhakikisha umpendae/uwapendao wanapendeza na kuishi kwa raha!!!

Tatizo inaonekana wewe unahonga mtaji!! Wenzio wanahonga faida mkuu
 
Last edited by a moderator:
"Na kwa jasho utakula"
"Na kwa uchungu utazaa"

Mwache ale jasho lako wewe yeye azae kwa uchungu.

Pia mwanamke ni msaidizi wa mwanaume hivyo basii.... mwanaume akichoka atasaidiwa!!!
 
Me ukitaka tupigane chini mapema anza kuniletea story za kuombana ela na naamini demu akiniomba pesa hanipendi kwani me mzazi wake? Me ntakupa ela ninapopenda wala sio kuniomba omba ovyo ovyo Fanya kazi ukiniambia tutoke tuna share cost nikikuambia tutoke me nasimamia show
 
Me ukitaka tupigane chini mapema anza kuniletea story za kuombana ela na naamini demu akiniomba pesa hanipendi kwani me mzazi wake? Me ntakupa ela ninapopenda wala sio kuniomba omba ovyo ovyo Fanya kazi ukiniambia tutoke tuna share cost nikikuambia tutoke me nasimamia show.That's my principle!
 
Unajua lakini huachi. Kama unachunwa nini kinakupeleka huko machinjioni??
 
Me ukitaka tupigane chini mapema anza kuniletea story za kuombana ela na naamini demu akiniomba pesa hanipendi kwani me mzazi wake? Me ntakupa ela ninapopenda wala sio kuniomba omba ovyo ovyo Fanya kazi ukiniambia tutoke tuna share cost nikikuambia tutoke me nasimamia show.That's my principle!

Naomba elfu 50 nikaweke invisible kesho rafiki yangu anabirthday nataka nipendeze....halafu aziz house of jeans wameshusha mzigo mpya nataka nikawahi leo 3 zitanitosha halafu piaa...ile lotion yangu inakaribia kuisha nipatie elf60
 
kuna dada alinambia hanipi penzi mpaka nimuoe nami nikamwambia huli pesa zangu mpaka tutakapo oana
 
Back
Top Bottom