Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Mwehhhhh
Hivi kumbe na kuoa amekataa..

yawiiii Bishanga mambo ya plastic bag nayo hayajui
nlidhani kijana wenu huyo mmesha mfunza huko counter ya juu.

hahahaha hiyo helicopter tunaondoa tu blades haiendi mahali..
TF keshaupwaka,nimepiga rollcall ya walio kwenye uzi huu hayumo
 
Naamini kuna ukweli lakini wengine wanasema ni watu waliodekezwa sana na kuharibiwa! Ndio huwa wanaitwa "watoto wa mama" a.k.a 'mama's boy'

Hili nashawishika kukubaliana nalo kwa watu wawili watatu ninaowafahamu. Kuna mmoja ninayemfahamu pamoja na kuwa ana familia yake, bado mama yake humuita akamsaidie baadhi ya shughuli nyumbani, ziwe za maana sasa!
Mimi nafikiri inategemea na mama mwenyewe, kuna wamama walezi haswa wanaolea kwa 'mkono wa chuma', na kuna wale walezi wa 'mtoto wangu pekee wa kiume' - ogopa hawa!
 
Klorokwin naona umenywesha mapema leo.. NABISHA mpaka YESU atakaporudi..

Nimekupa like ili uje usome .. Halafu naiondoa ukisha soma au kunijibu.. teh teh teh
Nyinyi si ndo mnawapaka ma poda watoto wa kiume? sasa mnategemea nini? halaf mara mnawapatia lolipop, sasa wakikuwa wanaona kufyonza lolipop kunaboa wanatafta jilolipop khaaaa! mnachangia sana kuifanya jinsia yetu haf kasti.

NB: Ukilegeza sauti na ukanilembulia na macho kidogo, nitabadilisha msimamo wangu na nitakubaliana na wewe
 


Tunaweza kufeli mtihani kama huyo mtunzi anatuchanganya. Mfano atuambie "birds (Example: Bat, Ziwarde and Njiwa) lay eggs. Please explain the relation between egg laying and family raising"....

Lazima kwanza tuanze na kuchambua kama Popo kweli ni ndege au la

Pili, linapokuja suala la kuchangia kwenye mjadala huru kama huu, hatulazimiki kujifunga sehemu moja kwa vile hatupo kwenye mtihani.
 

Dah! mwalim hapo red umenikumbusha wimbo wa mchiriku.

popo si ndeeege, mtafutieni kabiiila
mchana ana mateege , usiku hajui lala
nyumbani usimfuuuge, vyako vyote atakulaaa

ilooo popo ilooo lalewa lewaa, laning'inia leo limekosa pa kushikiaaa.

Dah! uswazi balaa
 

Kuna na hii ya Chakacha

"huyu ndie popo, ala maembe pekee, hana kazi kunibwagia kokwa, ala maembe pekee" hahaha

Mtihani lazima tufeli baada ya kusikia nyimbo hiyo ya mchiriku
 

Leo skulazii damu.. Hata unitake nakataa.. na leo wala
hiyo lollipop staki... Nimenuna

Nyie kina baba mnakimbia watoto wenu wa kiume, wengine
mnawakana kabisa. sisi tunawatunza na kuwakuza halafu mnakuja
juu kutuponda. Please give as break ....
 
Sijajua mnaongelea mapishi yepi....:A S-coffee:

Hata miye mwanzisha mada nimebaki nashangaa watu kuigeuza mada ikawa ya mapishi na kujua kupika wakati kuna mambo mengine kama heshima, upendo, kujali, na mengine niliyoyaorodhesha na yale ambayo sikuyaorodhesha!
Ndio JF ilivyo hahahah
 
ila u guys huyu binty alitaka kujua upande wa mapenz cjui mahusiano wanakuwaje? embu 2dadavue hapo bs.
 

Hilo ni jambo la muhimu....

Mzee wangu anayeishi kule Idete au Namawala kuambiwa kuwa anakuwa mume mzuri kwa sababu anajua kupika na kulisha watoto ataona kuwa umefikia level ya juu kabisa ya kumtukana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…