Wanaume wawili wakubaliana kuoa mwanamke mmoja

Wanaume wawili wakubaliana kuoa mwanamke mmoja

Juzi niliona story ya wanawake wawili na wanaume wawili waliounda couples tano, wanaoishi pamoja Uingereza
 
Teh teh teh. Wazazi wake watamtolea mahari sio ?! haya bana!
 
Tunakoenda ni zaidi ya safari kutoka Misri kwenda Israel!!!

_69485627_woman+pix.jpg




Two Kenyan men have signed an agreement to "marry" the same woman, reports say. The woman had been having affairs with both men for more than four years and apparently refused to choose between them.


The agreement sets out a rota for Sylvester Mwendwa and Elijah Kimani to stay in her house and states they will both help raise any children she bears. Lawyers said their "marriage" would be legally recognised if they could prove polyandry was part of their custom.

'Jealousy'

Mr Mwendwa and Mr Kimani drafted the agreement after realising they had both been having an affair with the woman in Mombasa County for more than four years, the local Daily Nation newspaper reports.
Continue reading the main story [h=2]“Start Quote[/h]
The laws we have do not talk about it but for such a union to be recognised in Kenya, it has to be either under the statutory law or as customary marriage”
​
Judy Thongori Lawyer
Community policing officer Adhalah Abdulrahman persuaded the two men to marry the woman after he saw them fighting over her, it reports.


"We have agreed that from today we will not threaten or have jealous feelings because of our wife, who says she's not ready to let go of any of us," the agreement says, Kenya's NTV station reports.

"Each one will respect the day set aside for him. We agree to love each other and live peacefully. No-one has forced us to make this agreement," it adds.


Mr Mwenda said her parents had given their blessing, while he is planning to pay the bride price.

The woman, a widow with two children, did not want to be named.

Kenyan family lawyer Judy Thongori told the Daily Nation that the law does not explicitly forbid polyandry - a woman having more than one husband.


"The laws we have do not talk about it but for such a union to be recognised in Kenya, it has to be either under the statutory law or as customary marriage. The question we should ask now is whether these people come from communities that have been practising polyandry," she is quoted as saying.


Polygamous marriages often take place in Kenya, but wife-sharing is unheard of, correspondents say.

kwangu kawaida tu mbona wanaume wa kiislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wengi..
 
Tusiandikie mate wacha jamaa waingie mzigoni baada ya kusaini hiyo 'piece accord🙂" tuone kama ana ubavu wa kubebana na njemba mbili 7 days /week @365 days /year ndio tutajua kama mwanamke kweli!....Nampa siku tisini za kwanza!

kashafanya utafiti kwa hiyo anawamudu usiogope sana mkuu..
 
Akitangulia kufa mwanaume mmoja kati yao yatazuka maneno...
 
Awa wenzetu wanakoelekea siko kabisaaaa!
Mh! Na w/ke Wakenya walivyokazana, wataweza hadi kuoa waume 4!

nchi nyingi,, na kila baa utakuta watu huenda kunywa huku wamesaini mkataba na wake zao kuwa kama mke akitaka kutembea nje ya ndoa na jamaa yeyote basi ana ruksa , hivyo hivyo na mumewe ana haki kama hiyo. Mke anaweza kuleta jamaa nyumbani na kulala naye chumbani huku bwana analala basement hivyo hivyo kwa bwana naye akileta demu nyumbani mke hulala basement. hizi ni hatua haramu za kutunza ndoa! lakini kwa hao wakenya sijajua lengo lao ni nn kama sio ufirauni mtupu!!!
 
Tusiandikie mate wacha jamaa waingie mzigoni baada ya kusaini hiyo 'piece accord🙂" tuone kama ana ubavu wa kubebana na njemba mbili 7 days /week @365 days /year ndio tutajua kama mwanamke kweli!....Nampa siku tisini za kwanza!

Hivi makahaba (changudoa) huwa wanatembea na mwanaume mmoja tu?

huku ni kutapatapa kwa mwanadamu tu, MSINGI wa ndoa utadumu siku zote kuwa ni 1 + 1 = 1, zingine mbwembwe tu.
 
Huyo mwanamke anajitafutia kifo cha mapema maana hawa jamaa lazima watafanya mashindano kwaiyo huyo dada atadhurika kiafya bacause of too much jigijigi.
 
Tusiandikie mate wacha jamaa waingie mzigoni baada ya kusaini hiyo 'piece accord🙂" tuone kama ana ubavu wa kubebana na njemba mbili 7 days /week @365 days /year ndio tutajua kama mwanamke kweli!....Nampa siku tisini za kwanza!

mbona kwa wanaume inawezekana?
kwani hakuna viagra ya kike?hahaaaa
nicheke mie,ataweza tu wala haina shaka!!
 
Two Kenyan men have signed an agreement to “marry” the same woman, reports say.
The woman had been having affairs with both men for more than four years and apparently refused to choose between them.
The agreement sets out a rota for Sylvester Mwendwa and Elijah Kimani to stay in her house and states they will both help raise any children she bears.
Lawyers said their “marriage” would be legally recognised if they could prove polyandry was part of their custom.
Mr Mwendwa and Mr Kimani drafted the agreement after realising they had both been having an affair with the woman in Mombasa County for more than four years, the local Daily Nation newspaper reports.
Community policing officer Adhalah Abdulrahman persuaded the two men to marry the woman after he saw them fighting over her, it reports.
“We have agreed that from today we will not threaten or have jealous feelings because of our wife, who says she’s not ready to let go of any of us,” the agreement says, Kenya’s NTV station reports.
“Each one will respect the day set aside for him. We agree to love each other and live peacefully. No-one has forced us to make this agreement,” it adds.
Mr Mwenda said her parents had given their blessing, while he is planning to pay the bride price.
The woman, a widow with two children, did not want to be named.
Kenyan family lawyer Judy Thongori told the Daily Nation that the law does not explicitly forbid polyandry – a woman having more than one husband.
“The laws we have do not talk about it but for such a union to be recognised in Kenya, it has to be either under the statutory law or as customary marriage. The question we should ask now is whether these people come from communities that have been practising polyandry,” she is quoted as saying.
Polygamous marriages often take place in Kenya, but wife-sharing is unheard of, correspondents say.
Source:BBC
 
Mods hii thread imovezish kwenye jukwaa lake la mahusiano na mapenzi, not politics
 
All three of them are crazy! Maybe they are all mental cases. This is absurd!!!
 
All three of them are crazy! Maybe they are all mental cases. This is absurd!!!

Haa Nguto wako sawa tu, sasa kama myaka yote minne wako wawili shida iko wapi? ama shida ni kwa vile tu imekuwa wazi?
 
Kama Mwanaume anaweza kuoa wake Wawili,Vipi kwa Mwanamke ?!
Ila napita tu !!
 
Ina maana hawaoneani wivu? Hiyo miaka minne si alikuwa anaficha!! Sasa iko wazi wangemwacha tu maana sio mwaminifu huyo!! Akitokea mwingine akampenda si ataanza uhusiano naye!!! Huyu mwanamke ana tatizo. Mwanaume tu kuwa na wake zaidi ya mmoja ni noma sasa mwanamke je ni kitu cha kawaida hicho? Hiki si kitu cha kawaida kabisa. The woman must be possessed!
Haa Nguto wako sawa tu, sasa kama myaka yote minne wako wawili shida iko wapi? ama shida ni kwa vile tu imekuwa wazi?
 
Back
Top Bottom