Wanaume wasioelewa somo


Kama umeshachukua hiyo Iphone 6 wataka msaada gani tena? Hapo ni kula na kulipa
 

Mbona rahis sana mshirikishe mume wako upate mawaz yake na ikibid anza mchakato wakutafuta ajr kwengine na mblock no zake mwisho atachoka ht mm yalishanitokea nikamshirikisha mume ss nina aman alichukua cm yangu kwa muda kila akipiga anapokea yy nakujitambulisha ni mme kwisha kaz mpk wa leo ananiogopa
 
Usimdanganye mwenzio,apewe simu ya bure kama nani ??
 
Wanawake bwana ungempenda huyo mwanaume usingeleta hii habari hapa mngemalizana kimyakimya.
 

Mwenyezi mungu akunusuru, kwani inatakiwaa hekma sana kumuelewesha binadamu mwengine ...
 

Shosti tatizo mumewangu hataki nifanye kazi, sasa ntakapo mwambie ujue ndio basi, sasa niko tayari kuacha kazi Lakini sio kuacha kazi nikakaa nyumbani...
 
Simama mama.kila bint anakutana na mambo kama hayo kila siku ofisini..tena bora wewe una mume na watoto wa.4.unaweza pata pa kusimamia pale unapohisi.msimamo kuyumba.sisi tunao mingle.je..???.simamia msimamo wako shoga.na utaweza tu
 
Nimpendenani, nimesoma maelezo yako yote kuna.mahali umeandika kuwa huyo bwana alikwmbia huyo Mwarambu anakutekenya(akimaanisha mumeo) pili akasema huyo mumeo ana totos kibao angalia kwenye simu yake utawaona.
Swali: Inakuwaje huyu bwana anamjua mumeo kuwa ni mwarabu?! Je,mnapoongea unampa taarifa za mumeo? Ni vipi aseme kwa ujasiri kuwa kwani wewe uko pekee yako! Na wewe unakiri kuwa, 'nampenda mume wangu pamoja na mapunfufu yake...'

Unajua ni kosa kumpa mtu kama huyo taarifa za mumeo? Huoni anachukulia udhaifu wa mumeo kwa advantage yake? Kamwe usirudie hilo kosa tena. Mnapoongea usikubali kumuingiza mumeo kwenye mjadala sababu anakitega ili amjue mumeo vyema. Na adui yako ukishamjua hakusumbui!

Pili kutokana na maandiko yako ninavyokuhisi hiyo hapana yako haina nguvu
Yaani unaisema ni kama humaanishi. Aidha wewe ni mpole sana au ni makuzi yako lakini nilichogundua kutokana na maandishi yako hiyo kataa yako ni kama vile unamwambia huyo Mzee jitahidi kidogo karibia utapata. Na ndo hicho huyo bwana anaingojea hiyo siku kwa hamu. Kwani hata ukuta uwe imara ukigongwa sana utaweka kreki lakini ukiendelea lazima utaanguka.

Tatu na mwisho. Naomba uache kuandika hii story humu kwani si ajabu huyu mtu yumo humu anakusoma na anasoma michango yote uanyopewa ndio maana anaweza kuja na mbinu mbadala. Pia kama utaweza badilisha hii id yako na hata signature yako. Kama ulikuwa hujui sasa tambua kuwa maneno huumba yale yatutokeayo maishani mwetu. Kuna msemo wa Kingereza unasema,'mpe paka wako jina baya naye utakuwa umemuua.' Nia unayo tena thabiti ya kusimamia kiapo chako cha ndoa isipokuwa jinsi unavyowasilisha ndo kuna kasoro kubwa. Mungu akujaalie ujasiri na si kuacha kazi kwani hata huko utakapikuwa utawakuta watu kama hawa. Kuna mbongo fleva mmoja aliimba,'hata kwetu wapo.'
 

Sijamwambia mkuu Kama mumewangu mwarabu wala hatujakaa mie na yeye hata sikumoja pembeni ila Boss wangu anaijua family yangu na nijirani yetu tunako ishi, nadhani labda upole au nnavyo ongea ndio unahisi nataka Lakini kumbuka ningetakaa nisingefika hapa kuomba msaada.. Na Kama yupo JF pia nataka ajue kua SIMPENDI NA ANIWACHE NA MAISHA YANGU....
 
Simama mama.kila bint anakutana na mambo kama hayo kila siku ofisini..tena bora wewe una mume na watoto wa.4.unaweza pata pa kusimamia pale unapohisi.msimamo kuyumba.sisi tunao mingle.je..???.simamia msimamo wako shoga.na utaweza tu

Asante sana, mwenyezi mungu akujaalie afya njema na akuepushee na kila balaaa.....
 
aaaaa we unaacha i Phone inaenda hiv hiv muudumie mzee wa watu usepe zako na simu yako. Hata kama ndo mm mmeo ningekuruhusu ila maramoja tuu
 
aaaaa we unaacha i Phone inaenda hiv hiv muudumie mzee wa watu usepe zako na simu yako. Hata kama ndo mm mmeo ningekuruhusu ila maramoja tuu
I phone haijanitoa roho ni kustahmili tuu vizuri havishi............
 
Maneno hayo ndio yanayo mfanya mwanamke asiseme...
Hayo ni ya kweli nimeshawahi kupewa namba ya mtu na wife kuwa anamsumbua nikampigia kumbe jamaa kapewa namba na best wake ambaye wife ndo hupiga kwa huyo na jamaa ana mke nilipoipata namba ya huyo wa siri kwa wife balaa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…