Apana dada siwezi,nimekinai siwezi sina nyingi lakini Alhamdulillah simu sioni kama ni chamana kuliko Heshima yangu..
Zawadi chukua lakini usisaliti ndoa yako, kweni umemuomba si atoa kwa mapenzi yake. Yaani wanaume sometimes nashindwa kuwaelewa.
Mungu annusuru na babu yule,sikufichi sipendi kuharibu familia ya watu sababu najua vp inauma nimepitia mashaka hayo na sitotaka kumfanyia hata adui yangu.
Ok mwambie habari hii utaifikisha kwa mumeo....mueleze boss wako kuwa mtu wake ni msumbufu na hutopenda kudeal nae masuala ya kazi. Block his number.
Yeah I cant agree more, maaana wengine wanachukua risk kubwa just to satisfy the small head.The little head is sometimes very clever and smart to the Biger one. Just understand tu kwa kweli. vinginevy hakuna utetezi mwingine.
Alinikera zaidi pale alipo niambia MUMEO kwani hana mwengine nje anao tele na anakutekenya tuu mwarabu yule njoo kwa dume la mbegu nikupe raha,nilisikia kama vile ananikita na kisu chenye ncha kali,na ukizingatia ni mtu mzima hana aibu hana..Inawezekana kabisa huyo mzee anataka kupendwa tu si lazima ngono,yaani mtu asikupende basi cha kwanza kufikiria ni ngono!Naamini kabisa kuwa wazee wengine wanakuwa wanakosa mapenzi kwenye nyumba zao hivyo inawezekana kabisa akawa anataka tu umpende,sema nae ujue kama ni mvua chu.....ndio uchukue uamuzi.
hivi nyie si ndo mnaendaga kwa waganga msipotokewa acha kujishaua we mpe upunguze mkosi kitu chenyewe umepewa bure wa kukihudumia kapatikana sa unashindwa nini kua na kidumu kama ndoo unayo?Apana nimerudisha na yule driver aloleta na nikamwambia asante .
kweli viumbe wa ajabu nyinyiInawezekana na Bosi wake anajua mchezo wooote. Wakati mwingine baadhi yetu tuko hivyo... Unamwambia tu 'naona kabinti pale ofisini kwako bwana mkubwa vipi unamchukua nini?'' "sina habari naye, vipi unautaka ule mzigo nini?'' wewe tu boss wangu.........
Yeah I cant agree more, maaana wengine wanachukua risk kubwa just to satisfy the small head.
kweli viumbe wa ajabu nyinyi
Hahahaaaaa kweli wewe ni NIMPENDENANI.. vipi Iphone umepokea? Jibu ninalo.
Kinachokusumbua wewe ni UMRI wake mkubwa sana au ni NIA na Nadhiri yako kwako mwenyewe, umpendaye n.k?
Tuanzie hapo kwanza.
Kama utaniamini ijumaa ilopita ameleta chakula kazini sikula na nimemwambia mie chakula nachukua kutoka nyumbaniUkichukua hizo unazoziita zawadi ndio mwanzo mpya wa yeye kujiaminisha kuwa anamiliki sehemu ya maisha katika maisha yako. Ukikataa hana namna ya kujiaminisha kuwa umemuweka pending na siku moja umkubalie. Firmly stay away from him.
kilichoumbwa na mungu kumnyima mwenzio dhambi
1 john 4:8
Whoever does not love does not
know God, because God is love.
Sio umri wake hata kidogo,tabia yake Nampenda sana mumewangu juu ya mapungufu alokua nayo kama binadamu wengine, nawapenda wanangu na nnamuomba sana mungu anipe umri niwaone waki graduate nakupata malezi bora na mapenzi ya wazazi wote wawili... huyo babu nadhani anatumia nafasi yake lakini nazidi kumuomba mungu ampeperushe..