me nikimfuma ni vibao kwanza polisi baadae afu namalizia na kibuti
wengine wamezidi ubahili ndio maana inabid k usearch na kuchomoa
Umeonaeee😉 so lazma wapapaswe
Mwanamke na udokozi haipendezi kwanini hamuombi?
Mimi huyo nikimfuma simpigi wala simpeleki polisi naachana nae kisaikolojia kwa raha na amani tena muda napitisha baada ya tukio, mfano kadokoa leo mimi baada ya wiki mbili au mwezi ndio namuacha tena bila ya yeye kujua kosa la kuachwa
Umeonaeee😉 so lazma wapapaswe
hahahaha uwii mnanichekesha sana....
yaan uniambie unaniacha hivi. bila kuniambia sababu sikubali
hahahaha uwii mnanichekesha sana....
yaan uniambie unaniacha hivi. bila kuniambia sababu sikubali
wengine wamezidi ubahili ndio maana inabid kusearch na kuchomoa