Wanaume wanzangu kumbukeni pesa sabuni ya roho !!

Red black

JF-Expert Member
Nov 29, 2019
2,376
5,771
Habarini wanajf I hope mko gud.
Hakika pesa ni sabuni ya roho inakufanya unafeel good sana.

Alafu ukiwa na pesa sura inatakata kama unaogea maziwa.

For me nikiwa na pesa tu always nakuwa na furaha na amani katika nafsi yangu maana naweza kufanya chochote kwa wakati wowote na mahali popote.

Hakuna pesa inayonuka popote ulipo kama unapenda pesa na unazo.... hongera na tunza kibunda chako.

Wanaume wenzangu tuendelee kupambana ili kupata pesa za kutosha... account izidi kunona iwe na digit 8 na kuendelea.

Wapuuzeni wanawake wanaopenda pesa ni mashetani na chumaulete unakuta demu anapenda pesa zaidi ya wewe uliezitafuta.. ata kama kei zenu ni tamu lakini hapana..

Wanaume tuwe na nidhamu ya fedha.
Tufocus kwenye kibunda tu.

Asanteni
nawasilisha
 
Faida ya pesa ni moja tu. Una uhuru wa kutandaza miti at will. No eligible pussywill pass you untouched.

Kwa hili wanaume tutafute hela kwa bidii tuzimiliki nyingii na kuziongeza mahsusi tu kwa kutandaza miti kwa uhuru.
 
Faida ya pesa ni moja tu. Una uhuru wa kutandaza miti at will. No eligible pussywill pass you untouched.

Kwa hili wanaume tutafute hela kwa bidii tuzimiliki nyingiu na kuziongeza mahsusi tu kwa kutandaza miti kwa uhuru.
Faida ya pesa ni moja tu. Una uhuru wa kutandaza miti at will.😃😃
 
Kosa vyote lakini siyo 👇
Screenshot_20231104-201935_1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom