Hahahahaaaaaaa! Ndo maana NIMEKWAMBIA USIDANDIE TRENI KWA MBELE!!! Wewe hii mada umeikuta leo umeidandia tuu! Hujui orig yake wala chanzo cha The Boss kutoa hizo shutuma! Mtambuzi anaelewa chanzo ndo maana sijamshangaa kuchangia! Sasa wewe ona unavotapatapa huelewi A wala B. Mimi IM TELLING THE TRUTH AS LONG AS HAKUNA ANAYEWEZA KUPROVE WITHOUT DOUBT IM LYING!!! Hujajua chochote bado UPO GIZANI SANAAAA! Kama umeamua kubisha USIBISHIE MSULI, TOA SUPPORTING EVIDENCE KUWA IM NOT WHAT I CLAIM TO BE!!!Otherwise ni MAJUNGUNIZATION!
sometimes ukweli unatuumiza ila ni bora tupate hayo maumivu kwa muda huo pengine kwa namna moja au nyingine tunaweza kuchukulia kama changamoto ya kutufanya tuwe imara. Mfano unapomwambia mpenzi wako chakula kitamu wakati siyo inaweza mfanya kesho arudie mapishi yale yale wakati ungemwambia ukweli next tym ungekula msosi wa uhakika.
Kusema jambo ambalo hakuna anaeweza kuthibitisha kinyume chake ni ni kulifanya jambo hilo kuwa ukweli ni kwa mujibu wa kamusi gani?Hahahahaaaaaaa! Ndo maana NIMEKWAMBIA USIDANDIE TRENI KWA MBELE!!! Wewe hii mada umeikuta leo umeidandia tuu! Hujui orig yake wala chanzo cha The Boss kutoa hizo shutuma! Mtambuzi anaelewa chanzo ndo maana sijamshangaa kuchangia! Sasa wewe ona unavotapatapa huelewi A wala B. Mimi IM TELLING THE TRUTH AS LONG AS HAKUNA ANAYEWEZA KUPROVE WITHOUT DOUBT IM LYING!!! Hujajua chochote bado UPO GIZANI SANAAAA! Kama umeamua kubisha USIBISHIE MSULI, TOA SUPPORTING EVIDENCE KUWA IM NOT WHAT I CLAIM TO BE!!!Otherwise ni MAJUNGUNIZATION!
Nachelea kuona ukikimba huu uzi, maana bado kitambo kidogo watakuja wanaoujua ukweli na hapo ndipo utakapoomba dunia isimame japo kwa sekunde moja......... Bi dada wenye nayo hawajisifii, bali hukaa kimya maana wao ndio wanaoujua ukweli... yawezekana kile unachoamini kipo hakipo maana kilipachuka wakati uleee ukicheza REDE utotoni.... angalia usije ukaomba POO......LOL
Kusema jambo ambalo hakuna anaeweza kuthibitisha kinyume chake ni ni kulifanya jambo hilo kuwa ukweli ni kwa mujibu wa kamusi gani?
Nachelea kuona ukikimba huu uzi, maana bado kitambo kidogo watakuja wanaoujua ukweli na hapo ndipo utakapoomba dunia isimame japo kwa sekunde moja......... Bi dada wenye nayo hawajisifii, bali hukaa kimya maana wao ndio wanaoujua ukweli... yawezekana kile unachoamini kipo hakipo maana kilipachuka wakati uleee ukicheza REDE utotoni.... angalia usije ukaomba POO......LOL
Unajua maisha na mapenzi ni misamiati migumu sana siku hizi!
we missed you big time.
Karibu tena.
where have you been?we missed u
YOU WISHHHHH! Acha majungu na fitina! KUWA MSOMI TOA EVIDENCE HAPO ZA KISOMI KUWA MADAI YAKO IM NOT YANA UZITO
usitake nikuaibishe mbele ya shemeji zako!!!! ebo!!