Nilisikia kwenye kituo kimoja cha redio kuwa wanaume wengi wanavutiwa na wanawake wenye nyonga(hips) pana kwakuwa scientifically wanawake wenye nyonga pana hujifungua kirahisi zaidi.
Mtangazaji alisema wanaume huvutiwa na umbo hilo bila kujua sababu kubwa ni hiyo.
Naomba nisipigwe mawe coz hii ni kwa mujibu wa sayansi na nilisika redioni.
We unapenda hips saizi ngapi?Nilisikia kwenye kituo kimoja cha redio kuwa wanaume wengi wanavutiwa na wanawake wenye nyonga(hips) pana kwakuwa scientifically wanawake wenye nyonga pana hujifungua kirahisi zaidi.
Mtangazaji alisema wanaume huvutiwa na umbo hilo bila kujua sababu kubwa ni hiyo.
Naomba nisipigwe mawe coz hii ni kwa mujibu wa sayansi na nilisika redioni.
....always kujifungua huja baadae kaka!! labda useme 'WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE HIPSI PANA BILA KUJUA PIA WANAWAKE HAWA WANAJIFUNGUA KIRAHISI'
unajua haya maelezo yako hayajaeleweka vizuri,(MARA KWA KUWA, MARA BILA KUJUA), unajua wanaume huwa hatufikirii kwenye kujifungua, always tunafikira present, so sikubaliani na wewe kuwa 'wanaume wengi wanavutiwa na wanawake wenye nyonga(hips) pana kwakuwa scientifically wanawake wenye nyonga pana hujifungua kirahisi zaidi.'
always kujifungua huja baadae kaka!! labda useme 'WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE HIPSI PANA BILA KUJUA PIA WANAWAKE HAWA WANAJIFUNGUA KIRAHISI'
Sijui kama tunaelewana,
Kinachozungumziwa hapo nikuwa kuna sort of instinct that makes a man attracted to a woman with such hips.
Si unajua nature ina-favour fitest species.
Sasa wakati we unapenda hizo hips, nature yenyewe inakuwa imewaandalia nyote mazingira mazuri ya uzazi.
We unapenda hips saizi ngapi?
ingekua hivo sisi tuliozaliwa na wamama wembamba tusingekuepo..urongo at best.
[FONT=century
gothic]unajua haya maelezo yako hayajaeleweka vizuri,(MARA KWA
KUWA, MARA BILA KUJUA), unajua wanaume huwa
hatufikirii kwenye kujifungua, always tunafikira present, so sikubaliani
na wewe kuwa 'wanaume wengi wanavutiwa na wanawake wenye nyonga(hips)
pana kwakuwa scientifically wanawake wenye nyonga pana hujifungua
kirahisi zaidi.'
always kujifungua huja baadae kaka!! labda useme 'WANAUME WENGI
WANAPENDA WANAWAKE WENYE HIPSI PANA BILA KUJUA PIA WANAWAKE HAWA
WANAJIFUNGUA KIRAHISI'[/FONT]
hapo umeiweka vizuri,big up