Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
Ukweli ulio bayana.Wanaume wengi wameoa lakini wanaishi maisha ya upweke
Hakika.Wanaume hujaribu sana kuficha maumivu yao. Wanaume wanaweza kuwa wameishiwa kifedha na kujifanya kuwa na kila kitu
Ni mgawanyo wa majukumu tu mkuu, ushawahi jiuliza kwanini hata kama mume na mke wote wanatoka asubuhi kuenda kazini na kurudi jioni, ila bado kazi za nyumbani na malezi ya watoto vinamhusu mke tu hata kama kuna dada wa kaziPesa ya mwanamke ni ya kwake ,lakini pesa ya mwaname ni familia apo ndio Huwa najiuliza pesa ya mwanamke ina kazi gan kwenye ndoa
🤔🤔🤔🤔Ndio maana akaitwa Mwanaume ("Kwa jasho lako utajipatia chakula mpaka utakaporudi udongoni....") being a real man is not an easy job, hizi nyuzi za kuhalalisha mwanaume kujiliza liza na kudeka zimekuwa nyingi sana this time around mna agenda gani? Haya ndio matokeo ya vijana wetu kulelewa na single mother na dada wa kazi (not all) kitu kidogo tu mshafungua nyuzi za kujiliza na kutafuta social sympathy, wanaume tunaenda wapi?