Nadhani tunajua mtoa mada kamaanisha mipete gani, herini na cheni zipi..?!Huu mjadala tpaul umeuanzisha tayari ukiwa na upande....au hitimisho..kama alivosema Ablessed tungekuwa norw objective kama tungejua chanzo....google ipo..sio kazi ngumu kujua
Ila kuwahukumu wengine kwa kuvaa sio sawa kwa sababu huwezi kulazimisha moral standards zako kwa mwingine...tamaduni zetu zinatofautiana..malezi yanatofautiana..ww kwa mfano umekulia Sitimbi kimalezi huweI kiwa sawa na aliyekulia mjini au jamii nyingine
Kwako unao a kuvaa cheni na vito vingine ni ukengeufu ila kwa wengine tunaona sawa.
Kuitana majina mara shoga sijui nini haileti maana...we must accept our differences..whom are we to judge?
Mi sioni tatizo kwa mwanaume kutupia cheni yake au pete..hivi hata za ndoa nnesuggest tuweke sandukuni? Ili iweje sasa?
Kwa hiyo kuvaa hereni na mibangili kwa wanaume ni ujanja si ushamba..ndo maana mtoa uzi anasema itafika kipindi..kuwa chakla ndo itakuwa ujanja sasaCheni na hereni maamuzi ya mtu. Wengine hapa ushamba unawasumbua
Babu zako wamevua mikufu !!!!!????
Masikio wameziba na nini au wamekunjia juu!!!????
Morani hawasuki tena??????
Sidai?????!!!!!!
Kama hujielewi baba mababu zako walikuwa masharobaro sio..?!
mkuu, umeninukuu vibaya. kuvaa saa sio tatizo ila nimesema kwamba kwa jinsi nisivyopenda hivyo vifaa vya KIKE hata nikivaa saa nahisi nimevaa bangili. kwanza saa zimepitwa na wakati labda kama unavaa kama pambo tu. kwani simu yako haina saa mpaka uvae saa ya mkononi ili 'kukeep time' (kwa msemo wako)?
Nadhani tunajua mtoa mada kamaanisha mipete gani, herini na cheni zipi..?!
nolaka totire muresi
kusema ukweli my mpenzi wangu ni avae cheni
loooh it kill me ooow
ila hata hereni sio mbaya kama akipenda
Vitu vingine vipo wazi sana..mipete ya rangi rangi(wengine wanavaa mikono yote miwili), hereni , na chain kama mwanamke..Mimi sijui zaidi ya hizi ninqzozijua na kuziona..unless kama unazofaham more specifically.
Naomba kutambua objectivity ya michango ya Ablessed OLESAIDIMU (bora umerudi) sokwe na wengineo
Tyta angetuwekea picha...kwa mfano una kutana na mwanaume kavaa sa nyekundu, pink, sijui blue na wengine siku hizi akivaa saa nyekundu na nguo nyekundu... Hayo mambo ya wanawake bana achenicheni nakubali mtoto wa kiume haifai,ila saa sikubaliani na wew,pete pia kwa misingi ambayo nimelelewa nayo mim ni ruksa kuvaa ila ya SILVER tu si ya DHAHABU,alafu kuwa rafu siyo sifa ili uonekane mwanaume sana ila ni kutojielewa na kushindwa kusimamia mambo yako,mwanaume timamu lazima uwe nadhifu LAKiNI USIPITILIZE au kukithirisha.
Hoja sina mimi au wewe sasa..kwa sababu mnajidai hamjui mtoa mada kamaanisha nini ndo tunauliza hayo maswali..hizo habari za babu zetu haziipo kwenye root ya uzi wa jamaa..mnaelewa kabisa kamaanisha cheni zipi, hereni zipi na mapambo gani ya kike..na ni aibu kujustfy kwa kutumia mababu zetu..ni aibu sanaHuna hoja naona unaleta vioja mkuu, you're very narrow minded and stereotype.
Chezeya OLESAIDIMU..hivi ni kakako? Shhheeeh
I think u know mtoa uzi kamaanisha nini..huko kwenye singa na nini tuache hizo visingizio...najua kabisa unajua kamaanisha nini..?
Mimi sijui zaidi ya hizi ninqzozijua na kuziona..unless kama unazofaham more specifically.
Naomba kutambua objectivity ya michango ya Ablessed OLESAIDIMU (bora umerudi) sokwe na wengineo
Vitu vingine vipo wazi sana..mipete ya rangi rangi(wengine wanavaa mikono yote miwili), hereni , na chain kama mwanamke..
Chezeya OLESAIDIMU..hivi ni kakako? Shhheeeh
Ni mdogo wangu ila naona anakimbia mila kwa kasi ya ajabu ila anajua wapi kelele zake zinaishia ,huku mjini muache ajitoe fahamu tu!!!!!
Cc masai dada
Kuva pete ya dhahabu iliyochongwa herufi ya jina..ili upendeze hii ni hulka ya wanawake..mwanaume kiasili anatakiwa apendeze jinsi alivyo ikianza kuongeza vitu vilivyoo kaa kwa mlengo wa kike zaidi ni kuanza kuvuka mpaka kwenda upande wa pili..lkn pia pete ya ndoa haivaliwi ili upendeze unaivaa kama sign na ni wajbu kuivaa..hata mantiki yake ya kuivaa ni tofauti na mantiki ya kuvaa ili upendeze na km wangine walivyosema ili kuwa sexy..Mkuu kama hoja ina categorical/cluster analysis basi bora tangu mwanzo ingewekewa premise za types,extent,designs,colours,gemstones and the likes!!!!!
Lakini it is an open ended topic sasa kuanza kudhani kuwa lililo wazi kwako liko wazi kwa mwingine pia sio sawa sana...
Hebu twende sawa sawa kwa mfano mtu kavaa pete ya dhahabu juu imechongwa nanga au herufi ya jina lake na kaivaa kidole cha kati mkono wa kushoto ina taabu gani na uanaume wake????!!!