Kwakweli inanikera sana wewe mbaba mtu mzima au wewe kaka unatembea na mwanafunzi tena wa Secondary, bora wa chuo ni mtu mzima..
Halafu wewe wewe hupendi / unaumia mwanaume mwingine atembee na binti yako ambaye yupo Secondary. Hivi unajifikiriaje hasa kuifungua hiyo zipu kwa binti mdogo ambaye ni kama wako?
Hufikirii kuwa utamuharibia concentration ya masomo?
Unapendaje kufanyia wana wa wenzako wkt wewe hupendi wako wafanyiwe?
laana tuuuu
siku hizi hawawataki wanafunzi wenzao wanawataka watu wazima,kwanza wanaume ni wachache sana siku hizi so kizuri kula na mwenzako.
Kama unamjua huyo mhusika kwa nini usimwambie yeye mwenyewe ili imuume zaidi, najua labda huna ushupavu wa kufanya hivyo bali siku hizi kuna njia nyingi za kumwambia ikiwa ni pamoja na kumpiga picha akiwa na kiifaranga husika na kuituma kwake na kwenye mitandao ya simu.
Nafikiri kusonya hapa hakusaidii kumaliza tatizo hili. Mimi nimeisha mkomesah mmoja kihivyo, ingawa na vibinti ninyi mna mambo, kuna kijukuu kimoja kilinitongoza hivi hivi nikakitoa baruti, kwani kichwani niko vizuri, lakini akikutana na bazazi ndo kwa heri tena.
well said mkuuuuHaya tumekusikia, tutaacha. Ila waambie na wenyewe waache kutupiga tu mizinga twa chipsi yai na coka.