Wanaume wanaooa wake wanne ni "danger"

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,870
Reaction score
2,122
Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao za kimwili?

Hawa ni wanaume au maroboti?
 
Mkuu hata mimi nishawahi kukaa chini nikafikiria hili suala, sio kwamba tunaingilia imani za watu, hapana, ila kiukweli naona kama hawa wanawake hawapati wanachostahili ipasavyo ukizingatia wimbi la wanaume wenye matatizo ya uzazi limekuwa kubwa sana. hata hivyo kiasili na kimaumbile mwanamke ana nishati kubwa sana ndani yake kuliko mwanaume hasa kimaumbile zaidi. sasa najiuliza hawa wanaume wanatimiza kweli majukumu ya kimaumbile ipasavyo? nauliza tu!
 
Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao za kimwili?

Hawa ni wanaume au maroboti?

"...mke mmoja anamtoa nduki kitandani..." basi huyo atakuwa MWANAUME WA DAR....
 
Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao za kimwili?

Hawa ni wanaume au maroboti?
Hapo mtaani kwenu kuna mwanaume aliyeowa wanawake wanne
 
Wengine wanaoa wake wengi kama ufahari fulani tu ni kama vile Wamasai wanaona fahari kuwa na ng'ombe wengi wa kienyeji ambao hawawauzi wala hawatoi maziwa mengi ila anaona raha kuwaona wakiwa wengi tu...Kuna kisa kimoja mtoto wa kwanza wa baba mmoja mwenye wake wanne alianzisha mahusiano na mke wa mwisho wa baba ake hadi kufikia kuzaa naye na haikujulika mapema sababu mtoto aliye zaliwa alifanana copy na mume halisi wa mke sababu Baba na mtoto wake wa kwanza nao ni copyright...Mama kubanwa sana akasema nilijiingiza kwenye uhusiano na mtoto wa mume wangu...maana mume wangu hata ikiwa zamu yake kulala na mimi hanifanyi kitu najikuta kwa miezi 2 napata haki ya ndoa mara moja...Ndo shetani akanishinda lakini naomba msamaha sintorudia tena..
 
Kwakweli sasahiv wengi wao ni tamaa...hawafuati maagizo ya M'Mungu yanasemaje
 
Ndio Maana MwenyeziMungu alisema '''kwa mwenye uwezo tuu ndio aoe wake wa 2 na kuendelea'''
Ni uwezo wa
1/kiuchumi
2/na haki ya tendo la ndoa
Km ww ni maskin maskn tu unabangaiza huwez kuwahudumia hapo huna kigezo
Na ukishindwa kuwagegeda wakarizika pia ni makosa
Zamani hii ilifaa sana hata mwanamke mwenyewe alitaman mumewe aongeze mke wapili kwakuchoka kugegedwa sana kila siku na nishow yakueleweka kwahyo wakiwa wawil anapata mda wa kupumzka na kufanya shuhul za kiuchumi bila uchovu na hata wake wenyewe walikuwa wakielewana
Lakin sikuhiz tunatamaa nyng uwezo hatuna wa kuwagegeda vya
kutosha wake zetu unaweza kuwa na uwezo wa kiuchumi ila uwezo watendo landoa ukakosa bora kuwa na mke mmoja tu wakizid sana wa2 km ww ni mtu wa tamaa na unapenda kugegeda usifanye uzinz njee ya ndoa ni bora ukaongeza mke
 
Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Kwa mfano kuna mzee mmoja jirani hapa, yeye anao wawili tu ila ndio umri ulee wa presha na visukari basi huyu bimdogo ni full kugongewa wazi wazi. Zingine tamaa tu.
Daah ni uonezi, uanze kugongewa af uanze kuwatia watu mabusha wakati we mwenyee una shida!
 
Mambo ya dunia hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…