Nimekuwa nikikutana na wanaume ambao hawana heshima kwa wanawake hata umnyenyekee vipi..
na sio hivo tu bora basi hata kitandani awe vizuri hajui kitu,
Ila dharau na jeuri vimemjaa hana heshima kwa wanawake..
Maringo utadhani mwanamke,unamtumia msg hajibu,simu hapokei,..mimi nikadhani ndio wanaume tuliobakiwa nao huku duniani jamani kumbe nilikuwa najichelewesha..nimempata mwanaume aliekamilika wa kiarabu tena wa tanga..
Mwanaume anajua nini thamani ya mwanamke..japo sijui hata shilingi kumi yake lakini mapenzi anayonipa na heshima aliyonayo nipo radhi kwenda nae popote,na mwanaume mwenyewe hana umri mkubwa kiivo lakini anajitambua...
Ushauri kwa wanaume humu ndani...pesa ni chachu tu katika mapenzi ..
Wanawake tunapenda kuwa loved,handled and cared hayo mengine ni ya ziada tu.
Shida ni kwamba tunaishi kwa experience ambazo watu wametuumiza sana..
Ushauri kwa akina dada wenzangu using`ang`anie kwa mtu ambae unajua hakupi thamani yako wewe kama mwanamke ,achana na huyo mtu na usonge mbele hadi utakapompata yule ambae atakujali na kukuthamini.
wanaume kamili wapo achaneni na wanaume wasumbufu ambao wapo kuumiza tu watu hawajui duniani walikuja kwa lengo gani...ni ushauri tu ..epuka kuumizwa fanya maamuzi sahihi.
Asubuhi njema