Wanaume wanaohonga sana vs wanaume wasiohonga


Kumtunza mwanamke.na kumhonga ni vtu viwili tofaut
 
Mabinti wengi wataupenda mchango wako mpaka kumoyo....au ndio ujumbendoana mkuu..??
 

Kwakweli!! Watu wanasema ukipenda kukitumia bas ujue na kukihudumia.. Sasa nashangaa wanaume wanaoshindwa kuhudumia w'wke zao!!
 
Malaya tu ndo anapewa baada ya kutiwa.
Kama ni mkeo hutakiwi kutoa hela.
Kama hujaoa unafanya uasherati
 
id hizi jamani zinasitiri wengi sana humu....watu mbwembwe nyingiii....
 
Ingawa wachache hawataamini. Wahongaji wazuri ni wale wenye hela ya kawaida tu. Wenye hela nyingi sio wahongaji.

Wenye hela mingi hawataki kuzipoteza hela zao na kurudia umaskini. Ila wenye pesa chache weshazoea umaskini,kwa hiyo hawaoni tabu ku-share umasikini wao na wengine.
 
Tumiaa Pesa Ikuzoe Kwan Ulizaliwa Na Pesa? Sasa Kwa Nn Ukae Na Pesa!
 


huwa naona ni "uuzaji wa maku" huu kama girl wako atakuwa na wewe usiku kucha asubuhi umpe buku ishirini. kama kweli wampenda kwa nini usimpe siku nyingine tu kama desturi na siyo siku amelala kwako?

Kwa "ke" hii kitu ipingeni kabisa maana dharau zitazidi.

kwa "me" jaribuni kulifatilia hili na kujua madhara yake kwa upande wa pili.
 
Kuhonga unatoa hela kwanza unapewa mchezo. Ukitoa baadae sio hongo bali ni ahsante kwa huduma. Unaweza pia usitoe lakini hakuna mwanmke atakuelewa kama sio mkeo.
Wanawake wote duniani wanajua mkishafanya yenu lazima umtoe ki aina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…