Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Kwanza) kuliko yote nawapa pole wanawake wanaofanywa mapenzi kwa nguvu, ama kavu kavu, hadi anaumia, pole. Wanawake wengi wanakimbia waume zao, sababu mume anamuingilia mke kama kuku. Wanaume mnao subiri mke alale au alewe pombe ndio amuingilie, muna ugonjwa kichwani. Hii tabia inaweza kuvuma mtaa mzima.
Hadi mama yako na dada yako wanaweza kujua tabia yako, ila hawawezi kukuambia. Fikiria mkeo atamuambia dada yake, dada yake atamuambia dada yako, dada yako atamuambia mama yako. Mama yako watu watamsikia akisema, unambaka mtoto wa watu.
Jifunzeni kufanya mapenzi, msiwe kama kuku. Una kamata na kutia, tabia mbaya hiyo.