Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
watalamu wanasema ''anayependa kidogo ndio anacontrol mahusiano na anayependa sana ndio anateseka zaidi'' nadhani ishu hapa ni kuwa anyependa sana huwa anajitahidi kuonesha upendo wake kwa huyo mpenda kidogo, t
kadiri mmoja anavyojitahidi kuongeza upendo, mwenzake anaanza kubweteka na upendo wake unaanza kudorora/kupungua kwa kuchukulia huyu kwangu kafika anaanza pia kupuuzia baadhi ya vitu muhimu, na hii nadhani kutokea pasipo kuamua ''kwa wale wanauchumi watakumbuka ishu ya scarcity kuwa 'kadiri kitu kinavyoadimika ndivyo uhitaji wake unaongezeka na kinyume chake pia ni sahihi''
nakubaliana nawe asilimia zote!