hivi ni kweli wanaume wana mapenzi ya kweli zaid ya wanawake? nauliza maana hili swala linanitatiza sana maana naona wanaume ndo hawana ....
please mawazo yenu wana JF.

Wanawake, wanaume wote waongo tu.

siwezi sema hana ila sijaweza kuproof
kwenye mapenzi itategemea atakayepumbazika sana ndo atamzidi mwenza wake kwenye mapenzi.