Wanaume waliopanga wana enjoy sana

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,047
Heshima yangu iwaendee wale Wanaume ambao wana pambana na maisha Nonstop nazungumzia wale wote waliopanga wanalipa kodi za nyumba, walioa, na wale wanaolea watoto. Mungu aendelee kuwajaliaa sana.

Nirudi kwenye mada kesi yangu, kwa life la hapa bongo kama Mwanaume una chumba na sebule masta, jiko seblen umejaza mazaga kama flat screen yako safi, home thieta mziki mnene, una makochi yako na meza bila sahau zulia safi lipo chini, tunakuja kwenye fridge umejaza makula kula kama mikuku, misamaki, minyamanyama ya kutosha bila sahau mavinywaji yote.

Pembeni umepaki kausafiri kako kakusaidia mishe/harakati zako amini kwamba wanaume wa dizaini hii wanashobokewa sana na Mademu kma pisi wanazila sana tena bila kutumia nguvu imagine dem wako anaenda kwa jamaa wa dizain hii afu wewe unakaa home tu hesabu maumivu. Tena usiombe uwe na Ndinga CROWN asee watoto wanashoboka sana. Au nasema uongo ndugu zangu?

TUTAFUTE HELA SANA
 
Back
Top Bottom