Wanaume waliooa, hii yawahusu

Hilo la kuweka picha za mkeo ofisini, itategemea ni ofisi gani mkuu!!! Wewe umeajiriwa kwenye kampuni ya wa tu ndo ukaweke picha ya mkeo utafikiri ofisi nzima ni yako? Hiyo itakuwa ni ofisi isiyokuwa na personnel manager!!!

Linawezekana bila shida,labda kama desk unalotumia mnashea na mtu.

Jaribu kama umeipenda hiyo na kuwa firm kuitetea kwa sababu hata za kwamba ndio inakupa motisha ya kazi.michepuko hata waajiri hawaipendi wanajua itakuja kutibuka siku moja.
 
tatizo kuna midada hata uje kazini na mkeo bado watakutega tu....in short jitambue weww ni kichwa cha familia (cheo ulichoapishwa na Mungu) and respect your spouse.

Wala si utani..tena wasio kuwa na haya wanakujua na bado wanataka kula na mumeo....ni kazi lakini maisha yanasonga end of day..ni wako tu
 
nani kakudanganya? wanaume wenye wake siku hizi ndiyo wanatafutwa! karagabaho.
 
...loh! na kila mtu amtazamaye mwanaume kwa kumtamani je?

Vice versa is not true, hahaha! Na imeandikwa usimtamani mke wa mwenzio na mme wa mwenzio andiko liko kimya, au mi ndo sielewi!
 
Hilo la kuweka picha za mkeo ofisini, itategemea ni ofisi gani mkuu!!! Wewe umeajiriwa kwenye kampuni ya wa tu ndo ukaweke picha ya mkeo utafikiri ofisi nzima ni yako? Hiyo itakuwa ni ofisi isiyokuwa na personnel manager!!!

unafanya kazi wapi?!! sijawahi kuskia ofisi inakuzuiya kuweka picha ya familia yako mezani au juu ya shelf?!!! personalization ya ofisi inakufanya urelax na kuwa na mood; kama wewe ndiyo manager na unazuiya hali hiyo basi ndugu yangu rudi shuleni ukajiupdate.
 
Wakija watasema hivi "wenzio tunalilia tuwekwe moyoni wewe unalilia uwekwe ofisino?" blessed article nzuri
 

Nafikri hujaelewa unachobishania!!

Haya ndo yanayowagharimu ninyi .com mpaka mnapoteza kazi kwa upuuzi huu. Kwa nini kama picha ya mkeo na familia yako usiweke kwenye Laptop yako ili hata ukiwa kazini unakuwa nayo. Sasa wewe mburura ukabandike picha ya mkeo kwenye ofisi ya watu? Mwingine kwa ujinga huo niliwahi kumshuhudia ameweka picha za familia kwenye computer ya ofisi, sasa hiyo inalipa kweli? Upuuzi!!!!!!!!!!!!!!!
 

mbona povu linakutoka BILA HATA KUJIBU SWALI! Kama kuna ofisi inazuiya kuweka picha ya mkeo kwenye dawati lako sema ni ofisi gani? Hata ofisini kwa obama nina imani hakosi picha ya mpendwa/wapendwa wake. SIPENDI KUBISHANA, NAPENDA KUJADILI, so far sijawahi kusikia ofisi yenye marufuku ya kuweka picha, au mwenzetu usiye mpuuzi ulishawahi kusikia?
 
Kama ndani ya nyumba hakujatibuka hayo yote yanazingatiwa! ndoa ikishakwaruzika tu kila mmoja anatafuta mahali pa kumpatia faraja!
 

Full of TITO and GIGO i.e Trash In Trash Out and Gabbage In Gabbage Out...............Hopeless Fellow indeed!!!!!!!!!!!!!
 
Haya mawazo ni ya zama za kale za mawe tena kule kijijini mpakani na burundì au nanjìlinji. Hata ingekuwa ofsi yako binafsi ndo ujaze mapicha ya mkeo? Yanaöngeza uzalishaji? Inaelekea mtoa mada hajui upana wa neno ofisi! Mpìgadebe.konda,dreva wote,polisi,mvuvi, picha za wake zao wabandke wapì? Ndo maana nch inakuwa maskini sababu mud wote mnakaa mmejfungia ofsini mnaangalia matako ya wake znu ktk picha. Nini kaz ya hizi mobile digital devices ie tablets,smtphones etc?
 
Hivi bado kuna kuaminiana kwenye ndoa siku hizi? Manake naona kama ndoa inakuwepo tu nyumbani mtu na mwenzie, baada ya hapo kila mtu na michakato yake anayoijua yeye mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…