Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,387
- 11,529
Taifa liko huru tangu 1961.Mashoga na mawakala wa mabeberu hawana chao kesho. Watanzania sote kwa umoja wetu twendeni tukapige kura za kijani tupu.Plan A ikishindikana kuna plan B kuliombea life tuu taifa likombolewe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙂🙂🙂🙂Taifa liko huru tangu 1961.Mashoga na mawakala wa mabeberu hawana chao kesho. Watanzania sote kwa umoja wetu twendeni tukapige kura za kijani tupu.
Mimi naweka tamko rasmi la wizara ya mambo ya nje likitetea na kuwalinda mashoga Tanzania. Na wewe nope bandiko moja la Tundu Lissu likitetea ushoga .Taifa liko huru tangu 1961.Mashoga na mawakala wa mabeberu hawana chao kesho. Watanzania sote kwa umoja wetu twendeni tukapige kura za kijani tupu.
Tanzania ya makaburi na majeraha kutoka kwa majeshi ya kukodi Burundi.Chagua Magufuli Tanzania bora yaja.
Pamoja mkuuWeusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii...
Wengi wanalalamika mitandano haipatikani. Sisi Wakulungwa tunapasua anga tu toka sehemu mbalimbali za Dunia. Tutawaletea habari za Tanzania hapa hapa JF. Mtazikuta siku Mkirudi msiwe na wasi
Hakuna kulala kuanzia muda huu tunazungusha dish kila sehemu kukamata matukio. Usawa tunaotega ni ule tunaopata bandwith kwa asilimia jiti
Tunapiga chini, tunapiga juu. Tunapiga kushoto ,tunapiga kulia. Kisha tunapiga mbele na tunapiga nyuma. Yaani hakuna kulala na kulaza bakora
Weusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii...