Kindness_cu
Member
- Dec 29, 2022
- 96
- 151
Pole sana bibie, Siti ya mbele for the first time.
Sasa hapo ubaya ni kuvaa au kusalitiwa?
Pole sana dada
Hama huko hamia huku kwanini ukae sehemu inakupa mateso ? Hama chap chap tukutane PMHellow lovers
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi
Pole sana hapo ishu ni usaliti nguo mnavaliana sana. Mpaka miswaki mnasheaVyote tu
Mna muda ganiAsante sanaa
πππMbona Mambo Ya Kawaida Kabisa