Wanaume wabahili na wategemezi

Huyo si mmasai wako mwenye kinyama kwa chini.

Ndio ulichompendea
 
Siku zote mazoea hujenga tabia. Ulishamzowesha tangu mwanzo ndio mana imeshakuwa tabia yake.

Cha muhimu anza kumjengea mazingira ya kujua majukumu yake kama mwanaume mana ameshajisahau yeye anasimama kama nani. Ila penye kumsaidia kwa baadhi ya mambo sio mbaya ukamsaidia.
 
Shuga mamiii
Mama kubwaaaa
Wanaume wa Dar wanapenda kitongaaa
 
When you love permanently where you loved temporary
 
Inaonyesha wewe ni mkubwa zaidi ya boyfriend wako
 
Hivi waungwana nitapataje ule wimbo wa xmass unaimbwa hivi,akoleleee mamaaa akoleleee,viva xmass wa mbanga gaston,msaada plz
Ingia you tube, andika " Baba Gaston Ilunga"-- Nyimbo zake zote ziko hapo. Pakua wimbo unaotaka
 
hahahaaaa... hv kuna mazoba kama huyo??!... yAn japo mm hela yngu ni mgumu kuachia ya dem wangu citaki pia kila mtu akae na zake tu... outing shoo nasimamia mwenyew hta kama ana pesa kuliko mimi bora niweke hta cm bondi nipate ya kucmamia il c kwa uzembe hyo...
 
umenikumbusha dada yangu alichunwa sana na shemeji afu mbaya zaidi jamaa akahonga demu gari ya mke wake!hahaha hapo ilinibidi nicheke
 
Pole Dada... Mimi nadhani Huyo mwanaume alikupendea hela zako kama ambavyo baadhi ya watoto wakike wanavofanya
 
50% 50% mnayoililia ndiyo hiyo, pia ni haki yake kukupga kimoja coz hata ninyi tunapowahonga huwa mnatupa kipochi manyonya kwa mbinde..... Kila kitu 50 50
 
Unafanya nini kwenye huo uhusiano? Uhusiano ni kusaidiana ila inapofikia hatua mtu anakufanya ATM ya kudownload mkwanja anavyojisikia na tena anakwenda mbali zaidi mpaka kuuingilia uhuru wako binafsi, hicho kinakuwa kichaa.
 
Maisha kusaidizana ila huyo kashakufanya chuma ulete afu anajua unampenda sana na huwez kumwacha na huo uzaifu kashaunot hivyo utasota sana hapo wachumba mkioana, ww majukumu yote utaachiwa na hiv jeur had anakunyanganya pochi hakika utaijutia ile cku uliyosema yes nimekubali
 
Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
Sasa unakomaa nae kwa lipi kama kwa bed zero kukata mkwanja hajui.....the guy must be useless then!! Puuuuuuuhh!!! hadi naskia hasira yaani!!
 
Mkuu huyo anakuona kama umempenda sana na huwezi kumuacha kwa jinsi unavyompatia misaada. Kwanza nikupongez kwa kuwa na kipato kizr pili kuchangia mambo kama ya outing kwan ni wadada wachache wa type yako BUT huyo jamaa kazidi anatutia wanaume aibu kwa kung'ang'ania hadi chenji, msome uone kama ana malengo na ww au yupo na ww ili afaidike na fedha zako tu. Kumbuka mtoto umleavyo..........
 
Mungu aingilie pembeni kama si kati. ili kuinusuru ndoa yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…