Wanaume wabahili na wategemezi

Nilivyokusoma mimi kwa haraka haraka
Una dharau/majigambo ya wazi wazi

Nafikiri hata huyo boyfriend kashaliona hilo na anakukomesha ile ile

BTW nimependa username yako 'wakuswampa'[emoji28] [emoji28]
Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
 
Tatizo la ugonjwa wa SIZONJE La Kukurupuka limekupata wewe pole sana
 
Ushauri we WAKUSWAMPA piga chini weka kifaa kingine kipya safari iendelee
 
nawaza tu kama mwanaume angekuwa anafanya hayo mambo kwa mwanamke

ungeona mapovu ya wadada wakisema kuwa huyo man ana roho mbaya, ila kwa kuwa dada mwenzao safi tu

wametongozana wenyewe waacheni waachane wenyewe

mtoa uzi umechangia kwa kiasi kikubwa bwana wako kuwa dependant
 
Ufahamu ndio unaomfanya mwanadamu atofautiana na wanyama wa porini....

Mwanadamu anapoutumia vyema ufahamu wake.....anaweza kuyatawala....vyema maisha yake na kuishi kwa raha mustarehe.....

Mwanadamu anapoyaendekeza matamanio na kuuweka pembeni ufahamu wake....basi lazima atakumbana na mabalaa makubwa maishani mwake.......

Think big......take control of your life.....
 
Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
sasa huyo mwanaume gani wa mtindo huo? yani wote walie kupigwa mizinga, ye ndo awe badala yake?... na yeye ni wa DAR au?.. wewe binafsi unajivunia nini kuwa naye mwanaume ambaye anaimbwa na Vanessa Mdee kila baada ya nusu saa?... swali la mwisho mko kwenye uhusiano kwa muda gani mbaka sasa?
 
Umeongea vizur mkuu ebu pata Pepsi barid,I wish mtu fudenge angesoma ulichosema hpa
 
usawa tatizo.kapinge Beijing China .utapata masaada maana ata yeye anatumia nguvu kukugegea tumia pesa zikuuzoee
 
Huyo nae mwanaume au mwanamke mwenzako?
Mwanaume asiyeweza kukuhudumia huyo si mwanaume.

Alaf hii tabia ya kuhonga wanaume sijui mnaotoa wapi, mnatudhalilisha banah.
 
Umegeuzwa ng'ombe wa maziwa

Hivi unaanzaje kumhonga mwanaume?????

Kweli kuna mabinti mna vipaji
 
mwanamke hakuumbwa kutoa msaada ila mwanaume msaada ndio hulka yake ndo maana kuna muda anawezatenda jema na akashau kua ametenda jema
 
Kaz kweli kwel kama vp ww mpige chini huyo dume surual
 
Mi kweli dume suruali lakini wako kazidi mimi tunaanza mshara wangu ukiisha tunakula wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…