Wanaume wabahili na wategemezi

Alafu hivi unavyo msema mpenzi wako kwamba ni tegemezi na ombaomba. Je ulisha wahi kupima thamani na uzito wa penzi lenu ukilinganisha na vijisenti?
 
Je ukimuacha huyo ulie nae kwa sasa, kisha ukampata atakae anakupa pesa kama unavyo taka na huku akiwa hana mpenzi ya dhati. Je utafurahia?
 
Kwanza umesha jisema kwamba pesa unayo, sasa mbona unakuja kujiliza huku kwenye kimbilio la wavunja ndoa na watoa ushauri wa hovyo kwa wasio jielewa kama wewe...
 
Kama ni hivo unaendelea kumhifadhi wa nn,,,,,? Cha kufanya Waite wa kwao umkabidhi kwa ndugu zake kuliko kuendelea kuanikana humu,,,,,,!
Daaah, umenichekesha sana. Awakabiz wakwao kwani amekua Mtoto? Hahaaha
 
vibishoo shoo vyenu hivo mnavyovipendaga kwahyo kua mpole
 
Huyu bwana ndiye yule uliesema ni mbabe wa mapenzi? Anakupa masharti wakati pesa hana!
 
Mpe tu mpaka na wewe uwe vibaya financially, mbona wakati yupo vizuri alikuwa anagharamikia vyote hivyo na kukupa pesa hukuja hapa kuomba ushuri!

Kumbe ndo upo ivyo? Ngoja apate tamshauri akuteme!
 
Dada pole sana, naona watu wanaogopa kukuambia ukweli. Ukweli ni kwamba huyo mwanaume hakupendi kabisa ndio maana anakufanyia hivyo. Tuliza akili fikiri jinsi ulivyompata. Inawezekana unalazimisha punda kunywa maji
 
Daah pole huo ni mzigo, shtuka mapema
 
My dear hata bible ilisema mwanaume atakula kwa jasho lake afu ww unamlea uyo marioo.... I had one 2 bt tukabreak up ktkt nashukuru kwa hilo2 wa hvo akikuoa ww ndo mama na baba... Weka mbal na watoto mtu wa hvo pga teke....
 
He he he.....hivi kumbe kuna wanawake wakarimu kiasi hiki?....mungu anisaidie kwakwel
 
Endelea tu Kulisha na Kunywesha...!Si unampenda...!Kwani kuna mtu alikutuma ukalee
 
Sasa hapo anaktegemea vp wakat na yy anatoa? Ndo zenu mkitoa kidogo tu masimango...af mnadai 50 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…