Wanaume wabahili na wategemezi

Wanaume wabahili na wategemezi

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
541
Reaction score
461
Habari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
 
Pole mkuu...!

Hilo ni tatizo lake ambalo hata wewe kwa namna moja au nyingine umechangia, usijiweke mbali sana na hilo tatizo.
Lazima wewe pia unahusika kwa kiwango fulani, kuna namna mnaishi, ambayo inapelekea yeye kuwa na jeuri hiyo ambayo sasa inakutesa wewe. Unatakiwa utengeneze misimamo yako binafsi, umueleze nae aitambue, na wewe uisimamie imara, otherwise atakusumbua sana.
Jichunguze wapi ambapo una udhaifu ambao unampa yeye jeuri kisha rekebisha haraka sana.
Nakutakia kila la heri.
 
Sasa si amekwambia katumia kutegeneza gar kama 1m!!? Acha uchoyo toa hera. Ndo usawa wenyewe huo
 
Habari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Yupo anayegharamiwa, wewe ni fursa. Tunasaidiwa na wapenzi, lakini sio kwa namna ya huyu bwana wako.
 
Inavoonekana wewe ni mmachame unawaza kila senti unayotoa. Maisha ni maelewano si kurushiana maneno.
NB: Huyo jamaa aishi ndani ya Bajeti yake. Haiwezekan hela huna unataka starehe za pombe na kusafiri kusiko na mpango.
 
Hivi waungwana nitapataje ule wimbo wa xmass unaimbwa hivi,akoleleee mamaaa akoleleee,viva xmass wa mbanga gaston,msaada plz
 
Ningekupata mimi nahisi ungefaid angalau ningekuwa nachangia robo tatu yote pindi tukitoka out nawewe unachangia robo inayobak, ila yawezekana akawa anakukuna vzr kunako bed
Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
 
Habari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Duuuuh poleee sana wanaume suruali mbona wapo kibao sana dada angu
 
Back
Top Bottom