Wanaume wababe

Wanaume wababe

sksksk

Member
Joined
Feb 16, 2009
Posts
14
Reaction score
1
Wapendwa wana JF.
Ni kweli kwamba wanaume wababe sana kwenye sehemu zao za kazi mfano,walimu kwa wanafunzi wao,bosi kwa wafanyakazi wa chini yake,Viongozi wa siasa kwa wanachama wao na wengine wa namna iyo uwa ni wanyonge sana na watu wa kufokewa na wake zao wawapo majumbani kwao?

Kama ni kweli sababu ni nini?
 
Back
Top Bottom