LIKUD kweli huyu ni mume wa Kikurya aliyebobea kwenye mila na tamaduni zao.
mwaJ akiyasikia maneno haya yakitoka kinywani mwa
Mwita Maranya lazima mimba i evaporate.
Ni safari ndefu sana kutoka kwenye mapenzi ya kukatana mapanga hadi kufikia mapenzi ya kubeba mimba pamoja