Wanaume wa Tanga na Mapenzi

Tunajaribu kuishi maisha ya sasa kwa kutumia theories za zamani kitu ambacho ni impossible! Kila mtu anaweza kufanya jambo lolote akipata exposure sio lazima awe wa kabila fulani..
 
naskia ukidondosha coin 'springi' za mwanamme wa kichaga zinasimama.

Imagine saa umekaribia mlimani coin inaanguka, utajibeba.

Msinishushie mawe, ni mtu kaiba pasiwe tu.

Kongosho umenichekesha hadi machozi yanatoka. Ofisini hadi wananishangaa.

Wachagga hoyeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!11
 

me mwnyw ndo nnapotoka naunga mikono hoja
 
Mbona wapo kawaida tu!!ila wanapenda tigo na wavivu!!
 
Makubwa haya hii nayo imenipitaje shongongingo mie?

Lakini bora maana mbona ningeyatapika mengi humu ndani?!

Sungura pita, sina mkuki mie!
 

Kuna chuo huwa wanafundishwa ndo mana ni hodari katika hiyo makitu.
 

....mnh! ila Tanga nayo kubwa,...inahusu mpaka kule milimani Usambara?
 
....mnh! ila Tanga nayo kubwa,...inahusu mpaka kule milimani Usambara?

hivi hao wakoje, please nijuze kabla sijaingizwa choo cha kiume...


Makubwa haya hii nayo imenipitaje shongongingo mie?

Lakini bora maana mbona ningeyatapika mengi humu ndani?!

Sungura pita, sina mkuki mie!

Tapika tafadhali, uokoe jahazi kabla nanga haijanyanyuliwa (sitaki tena kuwa mhanga wa thread za maumivu ya moyo)
 
Mi nilidhani na sisi tumo,kumbe tulishapinduliwa?
ngoja nichukue gobole langu nikalale.
 
Mimi nafagilia huko kigoma ila awe amekaa kaa mjini mana niwashamba kweli hujua kuongea bila kujali wanaomzunguka wanaelewa au la, ila niwazuri wakiridhika wanafia kifuani hahahahha huku anaongea kiha
Ni kweli usemayo..kiswahili chao kigumu mpaka ukizoee, kuna saa wanachanganya na kirundi humohumo, ukisema hujaelewa wanakushangaa ati.....hugjaerewa nini hapo!
 
Siku hizi wachaga nao wamekuwa watundu kwenye majambozi jamani, utandawazi umewasaidia. Msiwadharau jamani, wanafukuzana tu na wamakonde, wasukuma, waha, etc!
Waha wameingia lini kwenye chat ya mavituz? Waha wanajua kung'ang'ania ila sio mautundu ya show, Muha akikupenda anamaanisha!
 
Lakini ulisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…