Wanaume wa Tanga na Mapenzi

acheni hizo wengine wanafanya kazi ya kula pweza mchana kutwa ili wapate heshima tu matokeo yake ni kupoteza hela tu kisa kutafuta heshima Mambo haya hayatabiriki hata erectile vinauzwa kwa wingi hv unajua nani mtumiaji nani sio?
 

Hahahhaaa...hiyo kali,maana wakat wewe unataka kupetiwa mwenzio anawaza mambo yake...yaan hana muda..wanaboa sana kwakweli..
 
mimi nimetokea tanga nawajua vizuri sana wanaume wa tanga mapenzi wanayajua vizuri tu na hasa akikupenda utafurahi karaha yao ni wivu uliopitiliza
 
Thread haiishi bila kututaja???????kwa taarifa yako tunajua vyote kutafuta hela na hiyo mambo ya 6x6 alah
 
naskia ukidondosha coin 'springi' za mwanamme wa kichaga zinasimama.

Imagine saa umekaribia mlimani coin inaanguka, utajibeba.

Msinishushie mawe, ni mtu kaiba pasiwe tu.

Wachaga hoyeeeee!
Wachaga juuuuuu!
 
hii inanikumbusha stereotype ya kwamba wanaume wa uswazi ni mafundi mno kuliko wale wa uzunguni. sijui ni ukweli au la
 
siku hizi hakuna cha mambo ya kabila au umri hata mtoto mdogo wanakimbiza
 
mm nazan ss ndo balaaa......usiulize kabila gani meza hivyohivyo
 
Mbavu zangu...

Hapa kila mtu anaanza na "nasikia...nasikia..." Mnasahau kuwa "no research no right to speak". Tunataka fact kwa wale waliojaribu si kusikia tu. Lol.
 
Mbavu zangu...

Hapa kila mtu anaanza na "nasikia...nasikia..." Mnasahau kuwa "no research no right to speak". Tunataka fact kwa wale waliojaribu si kusikia tu. Lol.

mie najua wanawake wa kinyambo ..moto chini lol
 
Unaongea kwa experience au na wewe 'umesikia'. Tafadhali Boss tutake radhi... ungesema ni hodari ningeona sifa ...sasa moto chini ni neno tata.

mie najua wanawake wa kinyambo ..moto chini lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…