Wanaume wa Tanga na Mapenzi

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,979
Reaction score
27,731
Juzi kati tulikuwa na jamaa tuna discuss mambo ya kikubwa,tukafikia topic ya kabila gani Tanzania ni mafundi kwa mapenzi ya Kitandani,wengi waliishia kusema kuwa wanaume wa Tanga ni mafundi sana,kuna ukweli wowote katika hili jamani?Hili nadhani tunaweza kuchangia wote yaani wanaume kwa wanawake,karibuni.
 
Mmmh... Me nahitaji mapenzi ya kawaida.. Hao watani zangu wanaume wa KiTanga Hawajui kupambana na ugumu wa maisha..Wavivu kwenye kutafuta ngawila hao..Maisha sio jigjig peke yake..!
 
Inawezekana, lakini mimi niliwahi kutoka na kijana wa kitanga but he was not kiviile. Nafikiri uwezo wa hiyo kitu kwa dunia ya leo ya utandawazi unategemea mambo mengi, sio sahihi sana kuchambua mambo hayo kwa kufuata makabila hususan kwa wanaume. Siku hizi wapo hata wanaume wa kichaga watundu!
 

Sasa mbona umeamua kuja kuniumbua hadharani hapa x? au na mimi nitoe zako?
 
hilo ni muhimu kwao kuliko chakula na pesa,kwanini wasilimudu?
 
Hawana lolote,wazigua ndio malaya haawa watu we chunguza utajua ninachokisema wengi huachwa na wanandoa wenzao,hujifanya wanayajua mapenzi kumbe wapi malimbukeni tu,mwanamme akiniambia mimi wa tanga natapika nyongo hapohapo.
 
Mimi nafagilia huko kigoma ila awe amekaa kaa mjini mana niwashamba kweli hujua kuongea bila kujali wanaomzunguka wanaelewa au la, ila niwazuri wakiridhika wanafia kifuani hahahahha huku anaongea kiha
 
Teh teh! Tuko sio wewe bwana, ni kijana wa kitanga mwingine!
 
Hawana lolote,wazigua ndio malaya haawa watu we chunguza utajua ninachokisema wengi huachwa na wanandoa wenzao,hujifanya wanayajua mapenzi kumbe wapi malimbukeni tu,mwanamme akiniambia mimi wa tanga natapika nyongo hapohapo.

Hata dada mwingine wa Tanga alinieleza hilo kwamba wanaume wa Tanga si saana, ila mie nimejaribu bibie wa Tanga wako juu eti. Kwa wanaume nadhani wasukuma ndio wako juu.
 

Wachagga??? Mmmh...yaan hawa watu wa huko nadhan wamrithi mambo ya mababu zao mpk keroo,niwatafutaji mwanzo mwisho awe wa mjini awe wa bush..hawapo creative ktk mapenz..kwanza hata hilo neno creativity ktk mapenz ni geni kwao..we taja PESA ooohhooooo fasta atakupa michakato km elfu tano ikiwemo kulala njaa ili mambo yaende..
 
kuna huyo mchagga mmoja niliwahi toka naye, ukimwambia bby luv u kwenye simu, saa hiyo hiyo utasikia hivi ilie m-pesa nilikutumia umpe mrosso imefika?? mwambie apakize mbao nazitaka leo leo! namwambia bby basi nijibu, utasikia bana ee ile nilikwambia siku nakutongoza inatosha! nakutumia pesa baadae, kwaheri! lol! yalinishinda na pesa zake nikamuachia khaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! lol
 
Siku hizi wachaga nao wamekuwa watundu kwenye majambozi jamani, utandawazi umewasaidia. Msiwadharau jamani, wanafukuzana tu na wamakonde, wasukuma, waha, etc!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…