Wanaume wa mkoani bana

Hahaha ,muache apambane na hali yake
 
Jamani jamani Kwanini kabana lips hivyo?
 
Nimeona taarifa kuhusu wanaume wa Dodoma nao kuanza kujiuza na dada zao.
 
Hapa kuna tofauti gani na wale wa Dar?
View attachment 891738
Mi naonaga ni usenge na ujinga wa kiwango cha phd kuwadharau wanaume wadar mbona sisi watuwadharau na kuwanaona wao ni washamba hata wanapokuja kututembelea jitu unalielekeza kila kitu likienda chooni ulionyeshe ndala za chooni zilipo usipolionesha niingie peku bila ndala wakati linaziona pale mlangoni, usiliambia mwaga maji wengi baada ya kunyaa linatoka na kuacha mzigo wa mavi palepale juu kila anaeingia atauona, kuwasha hata tv hayajui mpka yaelekezwe yanashindwa hata na mtoto mdogo wa miaka 3 wadar ye anajua kuwasha tv na kuweka cd nk. Yaani ni vitu vingi lazima yaelekezwe ila sisi watuwasemi kwa hayo yote.
 
Hilo povu veeeepeee

( In mwanaume wa dar's voice )

Tehe
 
mmelianzisha wenyewe halafu mnaanza kulia lia, acheni kudeka nyie vijanaume vya dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…