Mkuuwanchi
Member
- Dec 16, 2017
- 84
- 68
Kwanza sisi wa CHATO huwa hatuvikati kati vipande vipande, dude zima zima tuu!,,huyo atakuwa wa dar ya kuelekea kisarawe huyo..
Uzeeki kasie hakika nimeamin ng'ombe hazeeki maini.Mate yamenijia, chips kavu za motoooo na kachumbari uuuhhh.
HahahahahahaaaUzeeki kasie hakika nimeamin ng'ombe hazeeki maini.
mkuu mimi mwenyew amenipa wasiwasi na stick iyo...Wanaume wa mikoani atuendekez ujinga uo kwenye makuli (kiganja lazma kihusike kukamilifu)chips kama izo unakulaje na stick?
utamaliza saa ngap msahani kama huo kwa stick?
sio mwanaume wa mkoani huyo!