Wanaume wa Marekani mna nini?

Umeona! Mwanaume hana msimamo. Ukisema uongo unatakiwa uwe na kumbukumbu. I have rested my xase with him.

Unalika kirahisi tu kama uyoga wa kichina. Ngoja nijiridhishe uanamke wako, maana isije ikawa ni ile mijitu hatari hatari sheik ukiiona unakimbia.
 
hahahaa....hebu mtoe mzungu muweke mbongo af cheki situation....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…