Wanaume wa Marekani mna nini?

Jiandae kugegedewa mkeo nawe
 
Take risk bwana nipm, huna ujasiri nini? Usizingue hili ni jukwaa la mapenzi.

Unawaonea wivu wanaume wa marekani kushobokewa na wanawake. Uko kwenye competition na wanawake kushobokea wanaume wa marekani? Pole ndio hivyo tena wanawake wanakutoa kea knock out! Unabaki keenda nao personal.
 
Unawaonea wivu wanaume wa marekani kushobokewa na wanawake. Uko kwenye competition na wanawake kushobokea wanawake wa marekani? Pole ndio hivyo tena wanakutoa kea knock out!

Hahahaaa, Dogo hujitambui. Wewe mwenyewe nikitaka nikukate ngebe nakupata tu, labda uhame JF, bisha!
 
hivi kuna wabeba box waliochoka kama wamarekani?
bora wabongo wa nchi zingine nyie wa marekani ni chokest mcheki le mutuz kaja na bukta 2
Hahahaha, bukta ngapi?
Ni kweli wabeba box wa marekani choka mbaya.
Yaani miaka yote since that summer camp imeanza 1995-6 huko jamaa waliokwenda huko ni wengi nawafahamu lkn waliotoka ni wawili tu tena kwa mbinde haswa now at least wako vizuri wanawekeza Hm kila mwaka wanakuja hm mara mbili tatu, yaani wako vizuri ila the waliobaki ni choka mbaya wengine mpaka leo wanachangiwa hela ya matumizi kutoka huku.
Nauli ya kuna Hm hawana, wakija ya kurudi mrihani.
Yaani kuna ambao wameishia huko jumla wamekuwa wahuni drugs kwa sana wanaume kwa wanawake mpaka inatia huruma.

Wanawake Wa marekani awe mbongo au muamerika anaenda wabongo kwa ajili ya ukarimu wetu only that.

As u can see jamaa alikuwa busy anachat na mademu kibao lkn hata hamna kitu anapata just friends, mnaigeria, mkenya, etc hafanyi huo ujinga otherwise kuna kitu anatafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…