sio kila ushauri unaoutoa basi mtu aukubali,for me kuachana na mme wangu ni never,naweza nikaabscond unyumba,au tukawa tunatumia condom ili kujikinga na magonjwa.ila DIVORCE IS NEVER UN OPTION,tukubali kutokukubaliana sio mtu anakataa kufuata ushauri wako unamwambia aende facebook that is rubish