Wanaume wa kibongo

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Wanaume wa kizungu wakipata mwanamke mwenye akili, aliyesoma, anauejiamini na kujituma, wanajua huyo ni hazina, ayafanya kila njia hadi amuoe maana anajua atamsaidia sana kwenye uongozi, plan na uendeshaji wa familia ambayo ina uhakika wa kuwa successful kwenye idara zote.

Mwanaume wa kibongo akigundua mwanamke amemzidi elimu, ana akili sana, atafanya mbinu zote amkwepe na kutoka mbio eti anaopa manyanyaso, atakuwa much know, atamzingua. Pumbavu kwelikweli! Mwanamke ni waziri mkuu wa serikali ya familia, ukiwa na waziri mkuu mwenye akili na mchapa kazi, mwenye elimu na weledi ni jambo jema kwelikweli na la kumshukuru Mungu sana maana wanawake wa namna hiyo wako wachache wengi wana akili za kushikiwa kama utambi wa moto.

As a man, unahitaji kuwa na mke ambaye atakuchallenge. Atakufahamu madhaifu yako na kuya absorb kama yake halafu akusaidie ku overcom. As a man, unahitaji mwanamke mwenye uwezo wa ku analyse situations na kukupa ushauri bora jinsi ya kuhandle situations.

As a man, unahitaji mwanamke anauejua potentialy ako na awe mwiba mchungu kwako kuhakikisha all these potentials are maximized to the fullest kukufanya uwe mwanaume bora na sio bora mwanaume. Ni upumbavu uliotukuka kabisa na unaohitaji nishani ya akili mbovu kupata mwanamke wa aina hii halafu ukakimbia eti " mi siwezi kuoa mwanamke aliyenizidi elimu" u r absolutely stupid my brother. Kama kuna kitu namuomba Mungu aniepushe na mke maandazi.

Nina hamu nipate mke hata mwenye PHD mbili, anisumbue, anichallenge haswa haswa, anishape, avumbue vipawa milioni vilivyo ndani yangu. Nitashukuru sana wanaume wengi hamna maendeleo sababu mmeoa maandazi. Mwanamke hajawahi kukushauri chochote, hana idea, haoni opportunities, anategemea mmewe mmewe tu ndo aje na plans yeye kazi yake kujibu ndiyo beby andazi mi la nini? Ana kalio kuubwa Mwenge hadi Mbagala ila akili kama kisoda cha pepsi.

Copied from somewhere
 
Kumbe umekopi??? Ahhhhhhh by the way ujumbe umepita
 
Nilifikiri umeandika mwenyewe....??? Weka yako Sio ya kucopy na paste...
 
Malaya wote hao waliojaa,nikahangaike na mademu wa kibongo pasua vichwa,unamwita pekeake ye anakuja na kundi zima, , , ,mfyuuu sura zenu zimekauka ka mihogo ya kuchoma, mnashobokea wazungu ili mrith mali na muende ulaya kama mange kimambi dadeki zenu ,mademu wasomi wa kizungu tofaut na mademu wa bongo, yaan hata asome vp lakin hamjiamin hadi muende kwa waganga,

pia mademu wa kibongo wasomi wanavitabia flani hawawez kuchange, , ,hadi naskia "POKE". mi nikijaga bongo napataga sevisi ambiance,maisha,kona bar,jolly. hapa kenya demu akijua huyu chali ni mtz basi atashoboka mbaya hadi kero, sie wengine huku tunaish kama macelebrity ,kuliko kwenda kuchukua nyie vibuzi kachoka.nyie ndo wakina dougie master. demu msomi wa kibongo labda kama utanipa tigo ndo nitamvumilia otherwise no long journey to go
 
Kumbe umeng'ata? Anyway, Wasomi wenyewe wa Kibongo hawahawa? Mh!!!! !???
 
Kumuita mwenzako maandazi ni dharau kubwa sana. Wengi wa wanawake waliosoma huwa na kiburi na kukuona wewe mume kama house boy wake. Kuna mama mmoja aliwahi kuwa waziri na siku hiyo aliporudi nyumbani baba akaambiwa ahamie boy quarter!
 
Mwanamke wa kibongo hajui jinsi ya kubalance elimu, ajira na familia.

Wanaume wa kibongo wanakimbia kwasababu ya kukutana na matukio hasi kuhusiana na wanawake waliosoma sana.
 
Mwanamke wa kibongo hajui jinsi ya kubalance elimu, ajira na familia.

Wanaume wa kibongo wanakimbia kwasababu ya kukutana na matukio hasi kuhusiana na wanawake waliosoma sana.
Yes right Mkuu menena!!

qoute:- my name is my name
As a man, unahitaji kuwa na mke ambaye ATAKUCHALLENGE. Atakufahamu madhaifu yako na kuyaABSORB kama yake halafu akusaidie kuOVERCOME.

As a man, unahitaji mwanamke mwenye uwezo wa kuANALYSE situations na kukupa ushauri bora jinsi ya kuhandle situations.

As a man, unahitaji mwanamke anauejua POTENTIALS ZAKO na awe mwiba mchungu kwako kuhakikisha all these potentials are maximized to the fullest kukufanya uwe mwanaume bora na sio bora mwanaume. Ni upumbavu uliotukuka kabisa na unaohitaji nishani ya akili mbovu kupata mwanamke wa aina hii halafu UKAMKIMBIA eti " mi siwezi kuoa mwanamke aliyenizidi elimu" u r absolutely stupid my brother. Kama kuna kitu namuomba Mungu aniepushe na MKE MAANDAZI.

Nina hamu nipate mke hata mwenye phd 2, anisumbue, anichallenge haswa haswa, anishape, avumbue vipawa milioni vilivyo ndani yangu. nitashukuru sana. wanaume wengi hamna maendeleo coz mmeoa MAANDAZI

Mwanamke hajawahi kukushauri CHOCHOTE, hana idea, haoni opportunities, anategemea mmewe mmewe tu ndo aje na plans yeye kazi yake kujibu NDIO BABY. andazi mi la nini? Ana TAKO kuubwa mwenge hadi mbagala ila akili kama kisoda cha pepsi.

Kwani mwanaume anahitaji "kiwanda" au mwenza aliyeridhika nae?!!
 
Last edited by a moderator:
Huu ni upande mmoja,umesahau kwamba
yapo mambo yanafanyika,kwa kusukumwa na wivu
wa yale uliyoyaona upande wa pili na wewe unalazimika
kufuata.Hili la kuoa wanawake wasomi au wenye akili ndo utoke
lingekuwa na mifano mingi mizuri lingevutia wengine waige na waingie kundini
Mifano mizuri huenda ipo ila ni michache sana.

Sijafanya utafiti lakini nayafahamu maisha ya maprofesa baadhi wa
vyuo vikuu ambao wengi wameoa wake wenye ama degree moja au mbili au tatu
lakini hawa wanaongoza,kuvaa vibaya,magari yao ya ovyo na hata set up
ya familia zao ukiachia kwamba watoto wao ni wasomi lkn maisha yanakuwa
ndivyo sivyo.Japo siyo familia zote ila nyingi ziko hivyo
kama hatusukumvi na hisia wengi mtakubaliana na mimi.

Upande wa wazungu,hakuna mifano mibaya ya maisha ya unyumba
kama unyumba wa wazungu au niseme watu weupe maana siyo weupe wote ni wazungu
Wazungu kuachana siyo issue,na mahakama zinasimamia ndoa za mikataba.
so kama ndoa yako ni mkataba wa miaka miwili mtaishi vizuri,mkikaribia kukosana mnasepa.

Mwanamke mfano wa uingereza akikupenda,hata vitu kama shati anakununulia
hategemei mapenzi yenu yaendeshwe na zawadi unazompa bali ni kile
tu kwamba amekupenda.sasa hapa hata dada zetu wajitathmini,
Kusoma kwao kunawabadilisha? au ni yale yale ya kuficha mshahara kisa mila zinasema jukumu la kutunza
familia ni la mwanaume,na huku hudumu ya unyumba inatoka kama mgao wa umeme kwa kisingizio
cha kuchoka kazini.

Kwa wanaume,kama yupo asiyejiamini abadilike.
mwanaume atabakia kuwa mwanaume na mwanamke hivyo hivyo
kuwa na elimu au kutokuwa nayo kusikukoseshe kujiamini.

Binafsi nashawishika kusema,suala la ndoa tuwaachie
wenye ndoa,kinachotafutwa kwa mwanamke kinajulikana, siyo kuja
kusaidiwa majukumu.Kama mtu una uwezo wako,unahitaji upendo
na siyo kuwa na mke-dume ndani eti kisa anakusaidia majukumu.

Mungu alishaagiza mke amtii mme na mme ampende mkewe
tunapoleta story za haki sawa kwenye ndoa matatizo yanaanzia hapo.
unalazimisha mmeo apike,vinginevyo mtakula vya housegirl to death
unakuta baba anakula kila kitu kwa huyo house girl afu wwe mwenye
mme unaleta uzi hapa jf
 
Kuna aina mbili ya wanaume wa kibongo kama hao ulowataja wanatoka nduki kisa mke kamzidi. Wengine wakikubali basi huyo mama atakuwa ni kitega uchumi, yeye mwanaume kiuno.


WTF....next
 
Kumbe we hujuwi.kuna baadhi ya wanawake wa kitanzania akishajuwa yeye ni msomi na amekuzidi kila kitu.yeye ndo anageuka kuwa baba.hata pedi utamwekea kwenye chupi.wewe kama ni mwanaume chunga sana kuparamia wasomi watakuumiza.shauri yako.jifanye mjuaji yatakukuta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…