Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,550
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".
2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal.
3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao. Chama cha kutetea haki za wanaume hadi sasa kina wanachama laki 8).
4. Wanaume wanaosali zaidi Afrika - Wasomali (kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5 kila siku. Hata katikati ya vita huwaachi kuswali).
5. Wanaume matapeli zaidi Afrika - Wanigeria (kati ya wanaume 10 wa Nigeria, 6 ni matapeli wa kutupwa. Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu).
6. Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika - Wakongo (hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke. Wanaitwa "Mario").
7. Wanaume wasomi zaidi Afrika -Washelisheli (Sychelles). Kila wanaume 100, 40 wana degree. Tanzania kila wanaume 1000 watatu wana degree.
8. Wanaume washamba zaidi Afrika - WaEritrea (ukienda kanisani/msikitini na gari jipya wanaahirisha kusali washangae gari kwanza).
9. Wanaume wachawi na Washirikina zaidi Afrika - Wagambia (Rais wao Yahya Jammeh hutumia waganga na wapiga ramli kama sehemu ya walinzi wake).
10. Wanaume wenye mikwara mingi mdomoni lakini waoga kutake "action" - Watanzania.