wewe utabaki kuwa K natutaendelea kukufanya kilalio pelekea u pum bavu walio kesha kukuleta dunian,nah nah bila shaka mimba yako ilipatikana kwa short time
Baba angu mzungu my mom mtanzania .my father professor Yalehujajibu swali langu!nakuuliza na mzee N nae alikuwa alnaliwa tigo,sijakuuliza kuhusu mumeo,amabye sitashangaa sana siku ukija hapa na thread ukisema umekuta ana sugu ya pumzi za kiume shingoni kwake!nakuuliza kuhusu baba yako ,maana mama ako alikuwa na hela sana back in those times?
Baba angu mzungu my mom mtanzania .my father professor Yale
Yes mama angu alikuwa na pesa Enzi hizo mtaa mzima tulikuwa tuna swimming pool1978 hiyo masaki.wazazi wangu wamekutana world bank NY.unalo hilo
kumfulia mume nguo,kumpikia etc ni majukumu ya mke kwa mujibu wa NANI....katiba ipi?
1978...I thot we msichana fulani, kumbe kipongo (umeenda age)...Yes mama angu alikuwa na pesa Enzi hizo mtaa mzima tulikuwa tuna swimming pool1978 hiyo masaki.wazazi wangu wamekutana world bank NY.unalo hilo
Yes mama angu alikuwa na pesa Enzi hizo mtaa mzima tulikuwa tuna swimming pool1978 hiyo masaki.wazazi wangu wamekutana world bank NY.unalo hilo
good kama umekaa kny ndoa,sema namuonea huruma mkeo.....sikatai kuna majukumu....ila hili la kusema ni kazi za mama/mwanamke ndilo nalolipinga.....majukumu yawe shared babu tusizeeshane....nachoka mapema kwa kunitumikisha halafu unaenda kutafuta nyumba ndogo nyooo:confused2:
kumfulia mume nguo,kumpikia etc ni majukumu ya mke kwa mujibu wa NANI....katiba ipi?
Umeona eeh! Sema hawa wazee hawajui, wanafikiri dunia yetu ni dunia yao. Bibi aliwahi nambia babu alimhonga kitawi cha mti kama kishika uchumba.
Sasa ni mwendo wa master card debit card