Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life


Duh afu tunaambiwa eti sisi ndo tunajishishia sijui cv! This is not fair bana!
Sasa hapo Madame B kutoka na shemeji yako ulipandisha hiyo hadhi na cv kweli?
Ndo maana naendele kusisitiza kuwa hakuna haja ya kuhukumiana humu maana wote ni wale wale
 
Ahahahahahahah
 
Watu wa mbande tunapata shida sana daladala tupandie kwenye mitondoro, na wanawake tukose haiwezekani lazima tutumie mamlaka ya viny'wa vyetu!
 
Wanaotongoza avatar a. k. a unknown people Leo wamenywea, mimi nilishasema uku mtaani kwetu kuna akina Aisha na Ashura wanamisambwanda za uhakika cwezi kutongoza picha kamwe japo mimi ni mkweli, ni Omba Omba cna kazi nyumba wala gari hta hii cm ninayotumia kupost umu pia nimesaidiwa na ndugu na hta cku nikifanikiwa kimaisha ctatongoza picha abadani asilani
 
Mbona mie wananijia na uhalisia wao!! Au wananiona kapuku mwenzao nini!!!
 
Wapo wanyarwanda.

Unafurahi wakaka wa chuga kuitwa matapeli...walahi ingekuwa kuna aliyewahi kuwashinda wanawake vita ya maneno leo ningeinunua.

Karibu Arusha.
Daby huu uzi ulikugusa sana, hebu nipe siri ya mafanikio.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…