ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Mkuu hawo duma hia hawana ishu na vitoto labda wawe wananjaa sana ndo watamla hapo watacheza nae hadi wamchoshe mi nimeona kwa macho yangu amekamta mtoto wa swala tena akbeba kabisa kapeleka vichakani duma alisinzia hadi akalaa chali n yile mtoto akanyanyuka safari akamwacha mbaya wake hiwezi amini!!
Natamani ungekutana na Scopion ghafla kwenye kona ya peke yenu.Ni wanaume wa Dar pekee ndio mtu anaweza kutobolewa macho wakiwa wanaangalia bila kutoa msaada.
Nasikia jamaa ni normal FloraMastriker wasiokuwa na madhara kwa timu pinzani
Naona umeanza kumwaga povu[emoji23] [emoji23]Hapo sawa na kibinti cha mkoani/kijijini kimejileta alafu unakiangalia kina sifa ya kuliwa papuchi au la, maana vingine vina ukurutu alafu sio visafi ila vinajileta vyenyewe vikisikia mwanaume wa mjini.
Kwahiyo unataka uniambie hata wanaume wa dar wana tabia ya kuangalia vibinti kama hivi bila kuwatumiaMkuu hawo duma hia hawana ishu na vitoto labda wawe wananjaa sana ndo watamla hapo watacheza nae hadi wamchoshe mi nimeona kwa macho yangu amekamta mtoto wa swala tena akbeba kabisa kapeleka vichakani duma alisinzia hadi akalaa chali n yile mtoto akanyanyuka safari akamwacha mbaya wake hiwezi amini!!
Ngoja siku ukutane na scorpion ndo utajua kwa nini huwa tunawasema![emoji17]Hivi waliwafanyaje?
Mie mwenyewe kamanda huo scorpion nitamshughulikia kwa dakika tano tuNgoja siku ukutane na scorpion ndo utajua kwa nini huwa tunawasema![emoji17]
Tunajaribu kuwaamsha maana wamezidi kulala sana,misho wa siku tutaonekana wote hatuna maanaHivi waliwafanyaje?