Ni matumaini yangu sote humu tunatambua kuwa tumeumbwa pia wengi wetu tunazo dini na tunafahamu kuwa kila aliyeumbwa na mungu na kupewa uhai iko siku atakufa.
Hatujui lini ajali yetu wala wapi itatukuta wala kipi chanzo chake ni siri yake mungu baba.
Si vema tukifanya mzaha na dharau,utani na kubeza mtu aliyekufa ama sababu za kifo chake,muombee mungu ampokee na amhifadhi pia omba mungu akupe mwisho ulio mzuri ktk dunia hii.
Kufa kwny uzinzi ni mwisho mbaya sana si kwa wanaume wa dar bali kwa wanadamu wote tunaoamini uwepo wa mungu na kifo.