Wanaume wa Dar hawajiamini ndio maana mda wote wanajitupia uturi
Halafu wanatembea wamebana makwapa maana wakiachia tu ni mto kongo..
..
Wanaume wa Dar hawajiamini ndio maana mda wote wanajitupia uturi
Dah.Japo vyuma vimetaiti Wanaume wa dar wananukia unyunyu mtamu hatare..yaani mwanamke ukiwa dhaifu unaweza ukavua kwenye corridor.
Mnatutega kweli mabikra wa dar tusiojua wanaume.
Yaani mnanukia vizuri kwa kweli? Au mnajipulizia UDI?
Miss natafuta ndio bikra?Hivi wanaume mnajionaje kukaa na bikra mtaani kwenu.. Aibu sana hii..
Uzembe wa hali ya juu...
Ngoja nirudi kwenye mada..
Unapenda sana michezo ya korido...
Ngoja wakuje...
Wenzio kuna kitu kinafichwa ndo maana mda wote kujipulizia puliziaHeri yako unajua harufu ya unyunyu mtamu. Kuna mijitu haijui wala haithamini unyunyu (LEO siwataji). Ndo dizaini hiyo hiyo unampelekea maua, birthday card, anakuangalia tu kama anachomwa sindano.....
Unyunyu una watu wake, mahali pake,na labda hadhi yake.
Binafsi naridhika na harufu YANGU natural na napenda MTU ambae hajipulizii uturi
Ahahaaa acha kunipeperushia ndege wangu bnaMiss natafuta ndio bikra?
Kwa hiyO wew bla kutia unyunyu hutOki nyumban!Ulitaka tusifiwe kunuka kikwapa??
Wanaume wa mikoani bwana...!!
mwanaume Anaeishi Nawew Kununa Kataka MwenyewJapo vyuma vimetaiti Wanaume wa dar wananukia unyunyu mtamu hatare..yaani mwanamke ukiwa dhaifu unaweza ukavua kwenye corridor.
Mnatutega kweli mabikra wa dar tusiojua wanaume.
Yaani mnanukia vizuri kwa kweli? Au mnajipulizia UDI?
Sipendi kusimuliwa nakuja huko huko darJapo vyuma vimetaiti Wanaume wa dar wananukia unyunyu mtamu hatare..yaani mwanamke ukiwa dhaifu unaweza ukavua kwenye corridor.
Mnatutega kweli mabikra wa dar tusiojua wanaume.
Yaani mnanukia vizuri kwa kweli? Au mnajipulizia UDI?
Karibu mamii unaweza kubaka mtuSipendi kusimuliwa nakuja huko huko dar
Umeanza na huku ....haki we leo utakuwa na genye mshindo, haaahaaaa
Utabaka hadi paka...kubabaaaake
Ahahaaa acha kunipeperushia ndege wangu bna
Kweli, mwanaume anakuwa na harufu ya beberu la mbuzi kama wanaume wa mkoani.Hao tumewatoa kwenye kundi la wanaume hao tuwaite wakina James Delicious
Your missed Afrodee🤣🤣.
Haya bana .
Itabidi urudi dukani tena kwa chaguo lingineKumbe mnapenda unyunyu eh ?
Mbona mi najipulizia sana ila hao ma bikra kama ww siwapati ?
Hatuwezi fanana usifosi kingi...Kwa hiyO wew bla kutia unyunyu hutOki nyumban!
Kwani wa mkoani wamekushindwa?Sipendi kusimuliwa nakuja huko huko dar
Mmmhh!!!Japo vyuma vimetaiti Wanaume wa dar wananukia unyunyu mtamu hatare..yaani mwanamke ukiwa dhaifu unaweza ukavua kwenye corridor.
Mnatutega kweli mabikra wa dar tusiojua wanaume.
Yaani mnanukia vizuri kwa kweli? Au mnajipulizia UDI?
Japo vyuma vimetaiti Wanaume wa dar wananukia unyunyu mtamu hatare..yaani mwanamke ukiwa dhaifu unaweza ukavua kwenye corridor.
Mnatutega kweli mabikra wa dar tusiojua wanaume.
Yaani mnanukia vizuri kwa kweli? Au mnajipulizia UDI?