Wanaume wa dar tunadhalilishwa sana

Wanaume wa dar tunadhalilishwa sana

bogosho

Senior Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
151
Reaction score
354
mi nadhani wanaume wapenda taarabu, michiriku, na vigodoro wanatuaibisha wanaume wengine wa dar..... nimesoma sehemu eti wanawake wa dar zamani walikua wanatoka geto wanachechemea saiv wanatoka geto wanachati na kupiga selfie

wanaume mnaokaa mbagala tandale keko em elimisheni kizazi Chenu mi mpaka nimeanza kukataa kama nakaa Dar
 
Ndio maana nikakimbilia mwanza aisee
mi nadhani wanaume wapenda taarabu, michiriku, na vigodoro wanatuaibisha wanaume wengine wa dar..... nimesoma sehemu eti wanawake wa dar zamani walikua wanatoka geto wanachechemea saiv wanatoka geto wanachati na kupiga selfie

wanaume mnaokaa mbagala tandale keko em elimisheni kizazi Chenu mi mpaka nimeanza kukataa kama nakaa Dar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom