Wanaume wa Dar tukutane hapa...

Ila pamoja na ulegelege wetu ndo tunawafundisha ujanja na ukakamavu, mkija na mamisuli yenu, tunawaingiza mjin, mnalia wiki nzima afu tunawakopesha nauli ya kurud kijijin kwen.
haya bwana ila hayo ni mavazi tu ila ukakamavu unaoongelewa ushaujua basi tu umeamua kupinga tu......!!!
 
kweli sisi wanaume wa dar ila wanawake wenu wa mikoani kila kukicha wanatuomba nauli ili waje dar
mkuuni kweli wanawaomba nauli kuja dar sio kwa kazi zenu bali wanakuja tu kushangaa mataa na fly over za magufuli mwisho wa siku wanarudi, kingine wanachowapendea ni hizo wanazokuomba tu lakini wenyewe wanajua kazi inafanyika wap!!!
 
Mbona nyie mpo dar lakini mnauziwa miguu ya kuku na utumbo wake...mkoan ni mkosi kukuta eti miguu ya kuku inauzwa. Asee acheni tu tupige picha na liugali likubwa. Ivi fungu la utumbo wa kuku ni bei gan mnauziwa!?
 
Na ndo uyo uyo wa kuhudumia ng'ombe na nguruwe mwisho wa siku anamla mkeo wakat wew upo bize na wavulana wenzio wa dar mkila chips na kuhadithiana black panther
 
Unashindia popcorn na savanna ukakamavu utautoa wapi mzee baba
Ila pamoja na ulegelege wetu ndo tunawafundisha ujanja na ukakamavu, mkija na mamisuli yenu, tunawaingiza mjin, mnalia wiki nzima afu tunawakopesha nauli ya kurud kijijin kwen.
 
Si wanawaona nyie km wenzao tu mana wanaume wa dar mnakatika mauno kuliko dada zetu wa mikoan ..hatari sana hii
kweli sisi wanaume wa dar ila wanawake wenu wa mikoani kila kukicha wanatuomba nauli ili waje dar
 
Niwe muwazi tu! Wanaume wa Dar wako legelege sanaaa! Yani unakuta dume zima miwili nyumba ila tepetepe! Zembe zembe! Mikono na miguu rojorojo! Lainii kama au zaidi ya dada yake.

Wanasindana mpaka na dada zao kujipodoa. Dume zima unashare dressing table na dada yako? Afu bado una anzisha ligi na kidume cha mkoa?

Nyie endeleeni tu kushindana na dada zenu kulegeza macho(kurembua).
 
Hii battle kati ya wanaume wa Dar na mikoani sijui litaishaga lini aisee, ila fresh ngoja niendelee kuenjoy comments
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…